Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
utajapigwa shauri yako ππTulia bro
Uchochezi wenye uhalisia π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utajapigwa shauri yako ππTulia bro
Uchochezi wenye uhalisia π
Ili mnidefine aje?hebu picha tuone au nawewe weka avatar ππ
I care nothing na mashuti ya jf πutajapigwa shauri yako ππ
wanasemaga hivyo hivyo sema wewe una bakapu kubwa hautishikiI care nothing na mashuti ya jf π
tukusumbue huko mjini pmIli mnidefine aje?
Mje mnidefinetukusumbue huko mjini pm
Unaniona niko alone hapawanasemaga hivyo hivyo sema wewe una bakapu kubwa hautishiki
Inawezekana mkuu!!I'm afraid hujamuelewa mtoa mada
1.Dogo alijua anayeandika upuuzi JF ni shemeji yake baada ya kuona watu wanamtag kwamba ndie baba mtoto wangu.Inawezekana mkuu!!
acha uchoyo sasa picha ya zagaddaa ni yakumnyima mtu?Mje mnidefine
Sitaki
ushanichoka nani mwalimu? tena wa mathe ππUnaniona niko alone hapa
Wapi bakapu mwal wa Mathe?
hamna cha kuficha wala hamna cha maana cha kuexpose ππmkitaka kunijua njoeni hapa kawe beach mnione nipo napata upepo mwananaUnaficha nn π
π€£π€£π€£π€£Bado unateseka na vimbwanga vya humu, kikubwa umefikisha ujumbe mengn yaache!1.Dogo alijua anayeandika upuuzi JF ni shemeji yake baada ya kuona watu wanamtag kwamba ndie baba mtoto wangu.
2. Nikamwelewesha kwamba huyo sio Ex shemeji yako ni mtu tuu wa JF nisiyemjua aliamua kujitangaza ndio baba mtoto.
3. Nikamsifia kabisa Ex kwamba pamoja na yote yeye hana nyuzi za kipuuzi humu mara nyingi utamkuta nyuzi za sprots na Jamii intelligence, hata kama ni mpuuzi hawezi kuuweka hadharani.
Jana usiku wakati nimekaa na mdogo wangu wa kiume mkubwa anayenifwata kuzaliwa akaniambia "Dada kumbe baba fulani (akamtaja baba mtoto wangu) ndio hana akili hivyo? Yaani jinsi nilivyokuwa namheshimu kumbe ndio ujinga anaouandikaga mtandaoni?
Kwanza shem alivyo busy vile muda wa kuandika ujinga ule anapata wapi, huoni kama anakuaibisha hata wewe? Yaani kusema kweli baada ya kusoma threads zake leo nimemdharau sana. Kweli unaweza kuwa umesoma, una kazi nzuri na pesa ila kichwa hakina akili."
Nikamuuliza umeijuaje ID yake mbona zaidi yangu hakuna anayeijua au ulipekua simu yangu kusoma PM zangu eeh? Akajibu hapana, sehemu nyingi sana anatagiwa hata kuna uzi wake pia alijisema yeye ndio baba wa anko wangu. Kweli Shemeji anajiaibisha sana hata kama tunatumia fake IDs (Mimi na dogo tunazijua ID's zetu).
Baada ya hapo ikabidi nianze kumuelekeza kwamba huyo chizi anayejiaibisha sio baba wa anko wake kabisa, nikamuelekeza kwamba shemeji yake hana ujinga huo. Hata kama simpendi namchukia ila ukweli hawezi kuonyesha ujinga wake hadharani hivyo.
Hata kama ni malaya pia hawezi kujisifia hadharani kubadilisha wanawake kila siku. Yeye yupo busy kwenye majukwaa ya Jamii intelligence na nyuzi za sports. Hata kwa Rick boy kwenye kula kimasihara anaonyeshaga ushamba wake hadharani wa kuwashangaa wenzie wanavyokula mitaro nje nje.
Jamani wanajukwaa mitandao ya kijamii inadefine sana jinsi ulivyo. Kile unachokiandika humu kinadefine uhalisia wako kwa hiyo tujitahidi sana kuandika vitu vyenye tija na vya maana. Unaweza kuwa mtu unayeheshimika kweli ila mitandao ikakufanya ujishushie heshima yako.
Kuna watu wengine huwa najiuliza hivi bahati mbaya hata mdogo wake au mwanae akashika simu yake akijua upuuzi anaoandika humu ataendelea kumuheshimu kweli? Tuangalie maudhui tunayoyaandika jamani.
Umeona hiyo.Vipi kuhusu avatar Je?hazielezi uhalisia wa mtu?Bora ungekaa kimya,
Hata wewe unamatatizo Kwa huo uandishi wako.