Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hiyo pembeni ni ndoo ya vyombo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo pembeni ni ndoo ya vyombo?
Ccm hawana akiriKuna mtu humu anaandika pumba ila ndyo hvyo mwenyekiti wa kamati kuu mkoa
Live ur life
Hapo ulikuwa mwaka wa ngapi?Ni ndoo ya kuogea huoni soap dish na sabuni hiyo?? Kwa waliosoma UDSM haiihitaji kuuliza kama hapo ni hostels zao
Ukiona mtu yuko anonymous mode na still ana kuwa fake huyo mtu yuko na tatizo la akili.Jana usiku wakati nimekaa na mdogo wangu wa kiume mkubwa anayenifwata kuzaliwa akaniambia "Dada kumbe baba fulani (akamtaja baba mtoto wangu) ndio hana akili hivyo? Yaani jinsi nilivyokuwa namheshimu kumbe ndio ujinga anaouandikaga mtandaoni?
Kwanza shem alivyo busy vile muda wa kuandika ujinga ule anapata wapi, huoni kama anakuaibisha hata wewe? Yaani kusema kweli baada ya kusoma threads zake leo nimemdharau sana. Kweli unaweza kuwa umesoma, una kazi nzuri na pesa ila kichwa hakina akili."
Nikamuuliza umeijuaje ID yake mbona zaidi yangu hakuna anayeijua au ulipekua simu yangu kusoma PM zangu eeh? Akajibu hapana, sehemu nyingi sana anatagiwa hata kuna uzi wake pia alijisema yeye ndio baba wa anko wangu. Kweli Shemeji anajiaibisha sana hata kama tunatumia fake IDs (Mimi na dogo tunazijua ID's zetu).
Baada ya hapo ikabidi nianze kumuelekeza kwamba huyo chizi anayejiaibisha sio baba wa anko wake kabisa, nikamuelekeza kwamba shemeji yake hana ujinga huo. Hata kama simpendi namchukia ila ukweli hawezi kuonyesha ujinga wake hadharani hivyo.
Hata kama ni malaya pia hawezi kujisifia hadharani kubadilisha wanawake kila siku. Yeye yupo busy kwenye majukwaa ya Jamii intelligence na nyuzi za sports. Hata kwa Rick boy kwenye kula kimasihara anaonyeshaga ushamba wake hadharani wa kuwashangaa wenzie wanavyokula mitaro nje nje.
Jamani wanajukwaa mitandao ya kijamii inadefine sana jinsi ulivyo. Kile unachokiandika humu kinadefine uhalisia wako kwa hiyo tujitahidi sana kuandika vitu vyenye tija na vya maana. Unaweza kuwa mtu unayeheshimika kweli ila mitandao ikakufanya ujishushie heshima yako.
Kuna watu wengine huwa najiuliza hivi bahati mbaya hata mdogo wake au mwanae akashika simu yake akijua upuuzi anaoandika humu ataendelea kumuheshimu kweli? Tuangalie maudhui tunayoyaandika jamani.
Ni mkubwa, ilitokea bahati mbaya nilimwazima simu aangalie matokeo ya mpira kumbe ni memba wa JF kuona app icon akaingia na mimi sikuwa nimelog out kwa App basi baada ya kuona akajua ID yangu na nikaforce niijue na yake ingawa yeye yupo sana nyuzi za mipira na betting.Kwanza kwann umlete dogo kwenye jf na mnajuana kwa I'd zenu
Mwenyewe kanishawishi kweli na hyo nguo kwenye picha yake nimfuate pm, nilijua anatangaza biashara yetu ileSasa mbona hujaitoa?
Inakuonyesha kama vile unajiuza kumbe mke wa mtu na heshima zake.
Practice what you preach!
Inasadikika we ndo baba mzazi wa trudie sioTell me
Duuh sema kakojolea pazuri kwa kweli.Baba mzazi tena usimzeeshe kijana wa watu