Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliuliza swali mtoto uko nae au Yuko na baba akeShida gani itakuja baadae mkuu???
🤣🤣🤣🤣Iki chama kinatesa watu wengi kwa kwerMwenzangu naona kajiunga chama cha KATAA NDOA [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mimi tayari nina familia kabisa.
Nilisoma Uzi apo sasa nikabaki na maswali nachokuomba shikilia iyo ndoa yko / mahusiano yko haswaa maswali unayotakiwa kujituliza Nikwamba wapi unakosea mpaka mwenzio kuanza kuandika mmbo yasiofaa uku nje ndoa ni chungu ukiwa nayo ila utapotoka utani kurudi wakati huo unaona ushacherewa tulia mlee mwanenu ktk tamaduni zetu za kiafrika zaidi aone yupo ktk familia na wazazi bora kwakeNipo nae mimi
AH wapi...mimi ni nani nikujaji ?Nawe pia ruksa kunijaji kwa maandishi mamy!
Mkajajiane PMAH wapi...mimi ni nani nikujaji ?
Je nyuzi zako hazimkwazi mzazi mwenzio ambaye sidhani kama amewahi kuweka uzi kuhusu wewe na mtoto wenu?Jamii Forums zamani na sasa hivi imekuwa tofauti sana, zamani ilikuwa serious hata ukiomba ushauri unapata unachokihitaji, mind you tupo under fake ID so watu tulikuwa comfotable kueleza yanayokusibu ambayo huwezi kumwambia mtu yoyote in real life.
Siku hizi kimekuwa kichaka cha matusi, udhalilishaji, ujuaji, kero nk.
And yes nilikuwa comfotable sana kusema yanayonisibu humu sababu hakuna anayenijua.
Asante sana kwa ushauri mkuu nimeupokea na nitaufanyia kazi, ingawa huyo anayeandika mambo yasiyofaa hatufahamiani kabisa.Nilisoma Uzi apo sasa nikabaki na maswali nachokuomba shikilia iyo ndoa yko / mahusiano yko haswaa maswali unayotakiwa kujituliza Nikwamba wapi unakosea mpaka mwenzio kuanza kuandika mmbo yasiofaa uku nje ndoa ni chungu ukiwa nayo ila utapotoka utani kurudi wakati huo unaona ushacherewa tulia mlee mwanenu ktk tamaduni zetu za kiafrika zaidi aone yupo ktk familia na wazazi bora kwake
Taratibu tu utamwelwwa fanya uchunguzi mbn simple tuAsante sana kwa ushauri mkuu nimeupokea na nitaufanyia kazi, ingawa huyo anayeandika mambo yasiyofaa hatufahamiani kabisa.
Kweli hajawahi weka uzi kuhusu mimi na mtoto wetu, na pia hajawahi kuniambia kama zinamkwaza since hadi uzi wa kumtorosha mtoto alicoment pia. Kitu pekee ambacho hakutaka ni kuexpose ID yake na mimi siwezi fanya hivyo.Je nyuzi zako hazimkwazi mzazi mwenzio ambaye sidhani kama amewahi kuweka uzi kuhusu wewe na mtoto wenu?
SafiKweli hajawahi weka uzi kuhusu mimi na mtoto wetu, na pia hajawahi kuniambia kama zinamkwaza since hadi uzi wa kumtorosha mtoto alicoment pia. Kitu pekee ambacho hakutaka ni kuexpose ID yake na mimi siwezi fanya hivyo.
Katika kujifanya mtu wa maadili huko ( kufake) lazima kuna tabia yako ambayo hutaifake ndio itafanya watu wakudefinw wanavyoona wao na ndio uhalisia wako.Definition ya mtu haitolewi na mtandao, mtu huwa anajidefine mwenyewe unaweza ukajifanya mtu wa maadili sana humu ila watu wakakudefine wanavyoona wao.
Infact, tumekuja kuishi siyo kuelekezwa kuishi ni vigumu sana kuwazuia watu kuona wanavyotaka ,let them see you the way they like suala la msingi ni kutoingilia maisha ya wengine ovaKatika kujifanya mtu wa maadili huko ( kufake) lazima kuna tabia yako ambayo hutaifake ndio itafanya watu wakudefinw wanavyoona wao na ndio uhalisia wako.