vyumba vipo!!Kwa wale wapenzi wote kuna ofa ya kwenda kukwea mlima Kilimanjaro
kwa wale watakaobahatika kwenda ajitahidini mpande mpaka kileleni ni sifa na raha mno kufika kule juu kabisa si kila mmoja anaweza kufika
NB. SIKUMAANISHA KILELE ULICHOFIKIRIA WEWE...!!!
mmmmmh,mbona kuna vikorombwezo vingi?
hapo hapo uliposhika, usiachie!au kwa watu speacial..lol
nawasikiliza tu!
Blac kid hata nyimbo zina collabo ,featuring part two au wimbo huo huo waweza pigwa kwa mahadhi tofauti na ikaleta ladha tofautiUmeona kipi cha muhimu forum moja kuwa na thread mbili zenye content ileile? Tena mbaya zaidi umecoment huo uzi wa mwenzio kimbelembele cha nini kuja kuanziasha uzi uleule si ungejadili tu uzi wa window 7!!
You might be a very good fortune teller...!my congrats
Excel mie nasikia wewe hujatulia unaweza kunifanya nikashikilia weeeeee mpaka basi ......hapo hapo uliposhika, usiachie!
we utasikiliza maneno ya watu hadi lini bana? utam wa ngoma-- tia ndani swaga zako na wewe!!Excel mie nasikia wewe hujatulia unaweza kunifanya nikashikilia weeeeee mpaka basi ......
mwambie... mtoto mzuri huyu ananichangaanya!! dah..!....utam wa shokshok ladha yake nyama tupu
nawasikiliza tu!
Akaaaaaaa!!! Excel una mambo mengi Kama unga wa ngano wewe,mie nakuogopaaaa....we utasikiliza maneno ya watu hadi lini bana? utam wa ngoma-- tia ndani swaga zako na wewe!!