Kileleni raha mno ukifika

Kileleni raha mno ukifika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kwa wale wapenzi wote kuna ofa ya kwenda kukwea mlima Kilimanjaro
kwa wale watakaobahatika kwenda ajitahidini mpande mpaka kileleni ni sifa na raha mno kufika kule juu kabisa si kila mmoja anaweza kufika
NB. SIKUMAANISHA KILELE ULICHOFIKIRIA WEWE...!!!
 
Kama ilivyo kwamba ili ufikie kilele cha mt, Kilimanjaro lazima ufanye maandalizi ya kutosha ikiwa ni pamoja na kujiandaa kisaikolojia na kuwa ma afya timamu ndivyo ilivyo katika kufikia hicho kilele chako lazima pawepo na maandalzi mazuri, afya njema na mawazo yote wa nyie manokwea mlima kuwa pamoja, sio mwingine anajituma kushika kila sehemu ya mlima, mwingine anawaza saloon yake au gari lake kama limekatwa na traffic
 
Kwa wale wapenzi wote kuna ofa ya kwenda kukwea mlima Kilimanjaro
kwa wale watakaobahatika kwenda ajitahidini mpande mpaka kileleni ni sifa na raha mno kufika kule juu kabisa si kila mmoja anaweza kufika
NB. SIKUMAANISHA KILELE ULICHOFIKIRIA WEWE...!!!
vyumba vipo!!

cc.. #teamwashindwa_kuomba_papuchi_na_domo_zegez !

10002976_527256317384687_1343397299_n.jpg
 
Umeona kipi cha muhimu forum moja kuwa na thread mbili zenye content ileile? Tena mbaya zaidi umecoment huo uzi wa mwenzio kimbelembele cha nini kuja kuanziasha uzi uleule si ungejadili tu uzi wa window 7!!
 
Blac kid hata nyimbo zina collabo ,featuring part two au wimbo huo huo waweza pigwa kwa mahadhi tofauti na ikaleta ladha tofauti
kumbuka hata nyama ina mapishi mengi !! Cha kushangaza ni kwamba umetumia lugha za kishangingi kucomment !sikulaumu kwakuwa sikujui wala sikufahamu zaidi ya username yako ambayo si halisi
Nb. Origal ya uzi huu ulikuwa kule MMU
 
Back
Top Bottom