Kileleni raha mno ukifika

Kileleni raha mno ukifika

Kwa wale wapenzi wote kuna ofa ya kwenda kukwea mlima Kilimanjaro
kwa wale watakaobahatika kwenda ajitahidini mpande mpaka kileleni ni sifa na raha mno kufika kule juu kabisa si kila mmoja anaweza kufika
NB. SIKUMAANISHA KILELE ULICHOFIKIRIA WEWE...!!!

Kizazi cha Nyoka, huwezi kufikiria kilele kingine tofauti na hicho unachofikiria !!!
 
kaongopa, yawezekana anakutaka yeye....
Hahahaha jamani hawezi kwa yule mpole sana yani hata kuongea kwa tabu na nadhani kasema kwasababu ananionea huruma,anajua sana anapokwenda na kila mara anatumwa sijui peleka pesa kwa huyu,mara mwanamke yule,nimenuna ivo mie Kabanga, wala narudi Zangu Zanzibar nimechoka nafsi yangu...
 
mi nafaudu tu...!!!
 
una sura ya upole sana na moyo wa huruma lakini ndani ya moyo wako kuna rooms nyingi na umepangisha wengi....

Promiseme nobody is perfect..! Tunachoangalia ni percentage! !!!!kwa nionavyo mimi kwa kukiri kwako mwenyewe naona excel ana 85% ambayo ni sawa na A+
 
mmmmmmh, 85% mbona nyingi sana unampa? anakua mkali saa nyengine hutamani kumuona tena....ntampa 48% nikimpa 50 atanifanyia vituko.....
 
Hahahahaaa basi wamfehemu vyema ila 48% ? No pls atapata div 5
 
Kwa wale wapenzi wote kuna ofa ya kwenda kukwea mlima Kilimanjaro
kwa wale watakaobahatika kwenda ajitahidini mpande mpaka kileleni ni sifa na raha mno kufika kule juu kabisa si kila mmoja anaweza kufika
NB. SIKUMAANISHA KILELE ULICHOFIKIRIA WEWE...!!!

Mimi niko zangu kileleni hapa raha sana kuwa hapa,
 
Back
Top Bottom