Kuna story imechafua hali sana huko Kileleshwa after a 22-year-old lady, Consolata Githinji, alipatikana amefariki baada ya kuanguka kutoka sixth floor ya short-stay apartment. Tukio ilihappen early Sunday morning na imeacha watu na maswali mingi kuliko majibu.
Reports zinasema Consolata aliingia kwa hiyo apartment around 4:17 a.m, akiwa na jamaa mmoja anajulikana kama Tony Odhiambo. Lakini mambo ilianza kuwa suspicious shortly after.
CCTV inaonyesha mlango ukifunguliwa tena dakika chache baada ya kuingia kuna signs za struggle ndani. Hapo ndio mambo ilianza kuwa weird.
Ati around 4:34 a.m., security guard aliingia kwa room briefly na kutoka haraka. Swali ni aliingia akapata nini? Na mbona hakuripoti immediately kama kulikuwa na shida?
Baadaye, mwili wa Consolata ulipatikana chini, na polisi wakafika around 6:19 a.m. Jamaa aliyekuwa naye akashikiliwa hapo hapo. According to yeye, anadai msichana alijirusha after argument… lakini CCTV na timeline haisupport story yake fully.
Sasa investigators wako kazi ku piece together what really happened. Ilikuwa suicide ama kuna foul play? Forensic tests na witness statements zitakuwa key sana kufichua ukweli.
Kwa sasa, hii ni case imeacha wengi wakisema: “Hii story haikaipoa.
Source: source.co.ke