Kila mtu huwa kuna kitu/vitu anapenda ambapo yuko radhi hata kuingia gharama nyingi ili kuvipata.
Mmoja inaweza ikawa nguo, mwingine pombe, mwingine viatu, mwingine wanawake, mwingine vyakula, mwingine games, mwingine vitabu, mwingine movie/series, mwingine clubbing/dancing n.k
So kama mada inavyosema, wewe kilevi chako ni nini?
PapuchiKila mtu huwa kuna kitu/vitu anapenda ambapo yuko radhi hata kuingia gharama nyingi ili kuvipata.
Mmoja inaweza ikawa nguo, mwingine pombe, mwingine viatu, mwingine wanawake, mwingine vyakula, mwingine games, mwingine vitabu, mwingine movie/series, mwingine clubbing/dancing n.k
So kama mada inavyosema, wewe kilevi chako ni nini?
Kiongozi ulivyokuwa unachapa hii post ndio ulikuwa btn the legs?Mimi nakenda Asali btn the ladie's legs
Duh! Itabidi umpe semina elekezi kuhusiana na hilo jamboAisee hua nakosa misimamo kwenye kujua kilevi changu halisi, kuna Muda kevichangu ni misambwanda, muda mwingine flatscreen. Mwanamke nitae muoa anivumile maana sina msimamo
Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani? - JamiiForumsKila mtu huwa kuna kitu/vitu anapenda ambapo yuko radhi hata kuingia gharama nyingi ili kuvipata.
Mmoja inaweza ikawa nguo, mwingine pombe, mwingine viatu, mwingine wanawake, mwingine vyakula, mwingine games, mwingine vitabu, mwingine movie/series, mwingine clubbing/dancing n.k
So kama mada inavyosema, wewe kilevi chako ni nini?
Yeah siunajua ya week end jion tukutane JLW nitatoa updates kwa yaliyojiriKiongozi ulivyokuwa unachapa hii post ndio ulikuwa btn the legs?
Haya, usisahau kutoa mrejeshoYeah siunajua ya week end jion tukutane JLW nitatoa updates kwa yaliyojiri
Rafiki mbabe mambo?[emoji196][emoji196][emoji196][emoji486]
Hapo penyewe kaya nayo isikose duh,Tungi. Fegi. Ganja. Big Ass. Tizi.
Japokuwa tungi nime stop muda sana miaka, tizi kwa sana tuna punguza sumu mwiliniHapo penyewe kaya nayo isikose duh,
Rafiki nitalidrop siku ukiacha ubabe!Mambo fresh tu....sijui lini uta drop hilo jina *mbabe*?