Kilevi chako ni kitu gani?

Kilevi chako ni kitu gani?

Kila mtu huwa kuna kitu/vitu anapenda ambapo yuko radhi hata kuingia gharama nyingi ili kuvipata.

Mmoja inaweza ikawa nguo, mwingine pombe, mwingine viatu, mwingine wanawake, mwingine vyakula, mwingine games, mwingine vitabu, mwingine movie/series, mwingine clubbing/dancing n.k

So kama mada inavyosema, wewe kilevi chako ni nini?

Aisee hua nakosa misimamo kwenye kujua kilevi changu halisi, kuna Muda kilevichangu ni misambwanda, muda mwingine flatscreen. Mwanamke nitae muoa anivumile maana sina msimamo
 
Kila mtu huwa kuna kitu/vitu anapenda ambapo yuko radhi hata kuingia gharama nyingi ili kuvipata.

Mmoja inaweza ikawa nguo, mwingine pombe, mwingine viatu, mwingine wanawake, mwingine vyakula, mwingine games, mwingine vitabu, mwingine movie/series, mwingine clubbing/dancing n.k

So kama mada inavyosema, wewe kilevi chako ni nini?
Papuchi
 
Aisee hua nakosa misimamo kwenye kujua kilevi changu halisi, kuna Muda kevichangu ni misambwanda, muda mwingine flatscreen. Mwanamke nitae muoa anivumile maana sina msimamo
Duh! Itabidi umpe semina elekezi kuhusiana na hilo jambo
 
Kila mtu huwa kuna kitu/vitu anapenda ambapo yuko radhi hata kuingia gharama nyingi ili kuvipata.

Mmoja inaweza ikawa nguo, mwingine pombe, mwingine viatu, mwingine wanawake, mwingine vyakula, mwingine games, mwingine vitabu, mwingine movie/series, mwingine clubbing/dancing n.k

So kama mada inavyosema, wewe kilevi chako ni nini?
Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani? - JamiiForums
 
Back
Top Bottom