Kilevi chako ni kitu gani?

Kilevi chako ni kitu gani?

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Kila mtu huwa kuna kitu/vitu anapenda ambapo yuko radhi hata kuingia gharama nyingi ili kuvipata.

Mmoja inaweza ikawa nguo, mwingine pombe, mwingine viatu, mwingine wanawake, mwingine vyakula, mwingine games, mwingine vitabu, mwingine movie/series, mwingine clubbing/dancing n.k

So kama mada inavyosema, wewe kilevi chako ni nini?
 
Back
Top Bottom