Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
ndani ya week hii niliweza kukutana rafiki yangu mmoja mfanyakazi wa clous fm yupo idara ya marketing amenieleza kuwa mkurugenzi wa clous fm ruge mutahaba ya kwamba ameingia na wasiwasi mkubwa huenda show ya fiesta mwaka huu huenda ikakosa wateja hii inatokana kwamba show ya kili musics awards kufanyika siku moja....ambayo inajumuisha wasanii wengi wenye mvuto....akiwemo lady jay dee ambae aliwaumiza clous kipindi show ya mwana fa ambayo maudhurio yake ilikuwa ni finyu sasa kuna kili musics awards.....ambayo ruge mutahaba anaomba isije ikabumaa maana maudhurio yakiwa machache redio hiyoo huenda ikaanza kupoteza maudhuria