Kili music awards show from eastafrica na fiesta ya clous fm.....siku moja yampa presha ruge

Kili music awards show from eastafrica na fiesta ya clous fm.....siku moja yampa presha ruge

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
ndani ya week hii niliweza kukutana rafiki yangu mmoja mfanyakazi wa clous fm yupo idara ya marketing amenieleza kuwa mkurugenzi wa clous fm ruge mutahaba ya kwamba ameingia na wasiwasi mkubwa huenda show ya fiesta mwaka huu huenda ikakosa wateja hii inatokana kwamba show ya kili musics awards kufanyika siku moja....ambayo inajumuisha wasanii wengi wenye mvuto....akiwemo lady jay dee ambae aliwaumiza clous kipindi show ya mwana fa ambayo maudhurio yake ilikuwa ni finyu sasa kuna kili musics awards.....ambayo ruge mutahaba anaomba isije ikabumaa maana maudhurio yakiwa machache redio hiyoo huenda ikaanza kupoteza maudhuria


 
Kama leo Diamond na Snura wapo Kigoma na Kilimanjaro Lager. Clouds wao wapo Mtwara na wasanii waliododaaaaa. Hawa watakoma kuringa mwaka huu kudadadeki.
 
Back
Top Bottom