Kili music awards

Kili music awards

HAUPO.ule ndio ulikuwa mwaka wa bahati kwake sijui ka utakuja kujirudia tena........

Hata alipotoa album ya kwanza ya moneu money aliongoza kwa tuzo 3 mfululizo na alipotea aliporudi tena na album ya pili akatoka na 5 so huwezi jua.
 
Chunabuzi je maana vile vyupi mwanzoni kama uko na wanao afu remote iko mbali
 
Kumbe bongo kuna wanamuziki? Itabidi nianze kufwatilia!
 
Hapo kwenye hip hop patamu
Taani
1.Young Killer
2.Stamina
3.Fid Q
4.G-Nako.

Hiyo ndo category niliyoona ni ngumu mtu kupita hivi hivi bila jasho.
 
KTMA 2014 mbona simuoni yule maliyoo wa mama ubaya asie badilisha nguo mirror kila siku sura kama ameonewa na hata akibadilisha nguo utamuona na born2shine nakapero ambazo wema ametupa kwenye dustbin na huyu mkulima wa ndumu Adam mchovu
 
unatia majaribuni na dadangu binamu Heaven on Earth.....

Mmmh kabanga mi simo kabsaaa nimenukuu tu maneno ya wahenga wetu tena sikumalizia ukamalizia wewe...!!! Lakini nakuona kabanga kama unataka kushawishika vile !? AU ???
 
Last edited by a moderator:
Mmmh kabanga mi simo kabsaaa nimenukuu tu maneno ya wahenga wetu tena sikumalizia ukamalizia wewe...!!! Lakini nakuona kabanga kama unataka kushawishika vile !? AU ???
wewe jamaa, mimi sipendi haya mambo...binamu Heaven on Earth unamsikia huyu jamaa....!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye hip hop patamu
Taani
1.Young Killer
2.Stamina
3.Fid Q
4.G-Nako.

Hiyo ndo category niliyoona ni ngumu mtu kupita hivi hivi bila jasho.

bila a kujifikiria mara mbili nitampigia fid q to be honest adeserve mwaka huu ila mwaka jana alideserve so nitampigia kwa ajili ya mwaka jana.
 
Back
Top Bottom