oasma bin laden
imeshatoka nimevurugwa ya Snura tema mate tumchape ya Madee
na uzuri wako Jux zaondolewa na Basata hazina maadili
HAUPO.ule ndio ulikuwa mwaka wa bahati kwake sijui ka utakuja kujirudia tena........
Hata alipotoa album ya kwanza ya moneu money aliongoza kwa tuzo 3 mfululizo na alipotea aliporudi tena na album ya pili akatoka na 5 so huwezi jua.
Bora tu maana sikioni kilichoimbwa wala kuburudisha kwenye hizo nyimbo
kweli I never know...........ila msela sijamsikia muda
nenda hapo utayakuta......
BASATA latangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za KTMA 2014 - Bongo5
.....cha hamu! ulikuwa uansemaje Mshana Jr....!?Kuna ule usemi usemao binamu kinyama cha nini vile ?
.....cha hamu! ulikuwa uansemaje Mshana Jr....!?
unatia majaribuni na dadangu binamu Heaven on Earth..........cha hamu! ulikuwa uansemaje Mshana Jr....!?
unatia majaribuni na dadangu binamu Heaven on Earth.....
wewe jamaa, mimi sipendi haya mambo...binamu Heaven on Earth unamsikia huyu jamaa....!Mmmh kabanga mi simo kabsaaa nimenukuu tu maneno ya wahenga wetu tena sikumalizia ukamalizia wewe...!!! Lakini nakuona kabanga kama unataka kushawishika vile !? AU ???
Hapo kwenye hip hop patamu
Taani
1.Young Killer
2.Stamina
3.Fid Q
4.G-Nako.
Hiyo ndo category niliyoona ni ngumu mtu kupita hivi hivi bila jasho.