Kili music awards

Jux yule muuza sura tu hakuna cha maana anachoimba

sio kweli bana mbona mi namuelewa sana,nyimbo yake mpya inayoitwa nitasubiri umepata kuisikiliza??? Kajitahidi sana so far,labda kama tunatofautiana interest
 
bila a kujifikiria mara mbili nitampigia fid q to be honest adeserve mwaka huu ila mwaka jana alideserve so nitampigia kwa ajili ya mwaka jana.

Nina mashaka Young Killer atawasumbua
 
Jamani Shilole naye katoa wimbo wa chunabuzi kwa ajili ya kuwapimsa BASATA uadilifu wao. Naamini watamtendea haki aliyoitaka. Video yake chupi njenje za mabint walo jazia. Isipofungiwa sijui, ngoja tusubiri.
 
Hapo kwenye hip hop patamu
Taani
1.Young Killer
2.Stamina
3.Fid Q
4.G-Nako.

Hiyo ndo category niliyoona ni ngumu mtu kupita hivi hivi bila jasho.

Obvious Fid Q atapita, Msodoki ni mkali ila kwa wasiojua au kuoenda Hiphop ila ni wapigaji kura wazuri kwa kila category ukiangalia hapo wana mjua sanasana fid q tu
 
Hapo kwenye hip hop patamu
Taani
1.Young Killer
2.Stamina
3.Fid Q
4.G-Nako.

Hiyo ndo category niliyoona ni ngumu mtu kupita hivi hivi bila jasho.

Hapo ni pagumu sana, lakini kutokana na historical expirience usishangae stamina au yoyote kushinda. ila kwa vigezo vyangu Joh Makini alitakiwa awepo. According to Dj Choka, Joh ndo msanii wa Hip Hop aliyefanya show nyingi kuliko wote 2013, pia ana heat singles kama Nikumbatie na Sijutii, pia ameshiriki kwenye collabo kama Bei ya Mkaa, Nje ya Box ambazo zipo kwenye nominations, Kumbe-Peter Msechu n.k kwa mtazamo wangu nafasi ya G Nako angekua Joh Makini
 
mi huwa wananikera eti siku ya show unamleta Mc mtangazaji daaah jamani hamuoni mbele wanavyofanya, leteni Mc kama mpoki yaani rahaa saaana maana muda mwingine watu wanachokaa kusikiliza mibongo fleva wanaburudika na ucheshi wa mpoki
 
Hapo kwenye hip hop patamu
Taani
1.Young Killer
2.Stamina
3.Fid Q
4.G-Nako.

Hiyo ndo category niliyoona ni ngumu mtu kupita hivi hivi bila jasho.

Fid Q huwa wanamwonea sana sababu yyni mkali lakini tuzo hawampi Viol
 
Last edited by a moderator:
Young Killer japo mchanga kwenye fani lakini anachana ki-hip hop sana!
 
ID yako imenikumbusha my friend atug

Ndio mm yuleyule ma dia.. Yaan majanga yalinikuta nilisahau password cjui ndo uzee au nn.. Nikaona isiwe shida nikajiunga tena kwa atug2. How are u Heaven on Earth. Hope na kili tutatiririka km tpf.
Cc: DEMBA, Charming lady,mwallu,Ruta,angel na wengine wengi i can't mention them all
 
Last edited by a moderator:

jaman am glad nimekuona....kili kama kaaida kwenye kile kijiwe chetu
 
mi huwa wananikera eti siku ya show unamleta Mc mtangazaji daaah jamani hamuoni mbele wanavyofanya, leteni Mc kama mpoki yaani rahaa saaana maana muda mwingine watu wanachokaa kusikiliza mibongo fleva wanaburudika na ucheshi wa mpoki

subiri j mos utaona mwenyewe
 
aah
pole sana...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…