Kili Stars Vs Sudan 3RD Round Playoff

Kili Stars Vs Sudan 3RD Round Playoff

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
747
Tanzania 0 Sudan 1 (second half)
Mpira bado unaendelea, nadhani safari hii tutashika nafasi ya 4
 
Tumethubutu,tumeweza na tunazidi kusonga mbele.
Aluta continuaaaaaa
 
mi staki kuskia huo upuuzi wa kilimanjaro star tena. wanatuhalibia siku tu. Mia
 
Kukubali matokeo ndio uungwana, uwezo wetu umeishia hapa. Tangia hapo hata hii nafasi ya nne tumejitahidi, kumbukeni robo-fainali tuliingia kwa kuchakachua!
 
Back
Top Bottom