Kiliba: Askofu Gwajima kuzungumzia Utekaji yuko sahihi kwa Asilimia 100

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua taharuki vinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa Dini, na alipoulizwa kuhusu kama ana kubaliana na utekeji katika nchi amejibu kwa asilimia 100 haridhiki na hali hiyo.

Chanzo: Clouds Redio

​
Alichokizungumza:

Askofu Gwajima yuko sahihi kukemea utekaji, hata yeye hakubaliani na utekaji wala mtanzania mwenye akili timamu hawezi kutetea utekaji. Ila amesema shida ni kwenye approach ya kuzungumzia hayo. Amesema mathalan, suala la Gwajima kusema kwamba atazungumza kitu kitakacho wastaajabisha watanzania, haikuwa kauli nzuri.
​
 
Hivi vitoto vya shule ni zero kabisa! Hivi anayeteka na kuua watu, na anayekemea utekaji na mauaji, nani anazua taharuki?
 
Vitoto vinaaibisha hata Vyuo wanavyosoma.Kweli Vyuo Vikuu Vinazalisha Majanga kama haya Kweli? Hakuna Constructive and critical Ideas utapata hata hapa. Na hapa ni hasara Kwa Mzazi
HIvI vitoto vya shule ni zero kabisa! Hivi anayeteka na kuua watu, na anayekemea utekaji na mauaji, nani anazua taharuki?
Hata

Hawa watoto ndio wanachuo wa miaka hii?..
Fucken stupid....
Mjinga kama huyu ni wa kula kichwa takataka kabisa!
 
Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua taharuki vinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa Dini, na alipoulizwa kuhusu kama ana kubaliana na utekeji katika nchi amejibu kwa asilimia 100 haridhiki na hali hiyo.

View attachment 3447845
Chanzo: Clouds Redio

​
Alichokizungumza:

Askofu Gwajima yuko sahihi kukemea utekaji, hata yeye hakubaliani na utekaji wala mtanzania mwenye akili timamu hawezi kutetea utekaji. Ila amesema shida ni kwenye approach ya kuzungumzia hayo. Amesema mathalan, suala la Gwajima kusema kwamba atazungumza kitu kitakacho wastaajabisha watanzania, haikuwa kauli nzuri.
​
Inakuwaje TAHILISO wanamuweka huyu mhuni anayenyoa kiduku kuwa msemaji wao? Ovyo kabisa.
 
Hawa watoto ndio wanachuo wa miaka hii?..
Fucken stupid....
Mjinga kama huyu ni wa kula kichwa takataka kabisa!
Ndio maana vyuo vikuu vya sasa hivi vinaonekana takataka kwa sababu ya watoto kama hawa. Hivi huyu aliingiaje chuo kikuu? Na inakuwaje hakamatwi na lecturers kwenye mitihani? Ovyo kabisa.
 
Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua taharuki vinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa Dini, na alipoulizwa kuhusu kama ana kubaliana na utekeji katika nchi amejibu kwa asilimia 100 haridhiki na hali hiyo.

View attachment 3447845
Chanzo: Clouds Redio

​
Alichokizungumza:

Askofu Gwajima yuko sahihi kukemea utekaji, hata yeye hakubaliani na utekaji wala mtanzania mwenye akili timamu hawezi kutetea utekaji. Ila amesema shida ni kwenye approach ya kuzungumzia hayo. Amesema mathalan, suala la Gwajima kusema kwamba atazungumza kitu kitakacho wastaajabisha watanzania, haikuwa kauli nzuri.
​
Hili nalo ni karakacha la wapi?
 
Sasa unataka azungumzie utekaji huku akiwa amevua shati ndio hakutakuwa na taharuki, matukio ya utekaji tayari ni taharuki hiyo, kwahiyo anayesababisha sio mkemeaji ni watekaji hao hao
 
Kilibatumbo. Unataka Askofu Gwajima azungumze kwa kubembeleza? Ambembeleze nani?, Kwa Nini? Na ili iweje? Matukio ya utekaji na mauaji ni ya Leo? Kuna mtu alishakamatwa? Kuna kesi ya mtuhumiwa yeyote iko Mahakamani?

Wajibu wa Kiongozi wa Dini kwa jamii na Taifa ni nini? Siyo kufundisha? Siyo kushauri? Siyo kuonya? Siyo kukosoa?

Mwacheni Gwajima awavutishe ugoro vizuri.
 
Huyu mtoto mnampa attention sana hadi sasa anajiona ni sehemu ya wasaidizi wa mama! Yani kiranja wa wanafunzi wenzake kila siku mpo mgongoni kwake mchukue gesi anayopumua tu tena kwa nyuma hadi sasa anaona wakubwa wa JF ni watoto wenzake
 
Back
Top Bottom