HataHIvI vitoto vya shule ni zero kabisa! Hivi anayeteka na kuua watu, na anayekemea utekaji na mauaji, nani anazua taharuki?
HIvI vitoto vya shule ni zero kabisa! Hivi anayeteka na kuua watu, na anayekemea utekaji na mauaji, nani anazua taharuki?
Inakuwaje TAHILISO wanamuweka huyu mhuni anayenyoa kiduku kuwa msemaji wao? Ovyo kabisa.Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua taharuki vinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa Dini, na alipoulizwa kuhusu kama ana kubaliana na utekeji katika nchi amejibu kwa asilimia 100 haridhiki na hali hiyo.
Alichokizungumza:
Askofu Gwajima yuko sahihi kukemea utekaji, hata yeye hakubaliani na utekaji wala mtanzania mwenye akili timamu hawezi kutetea utekaji. Ila amesema shida ni kwenye approach ya kuzungumzia hayo. Amesema mathalan, suala la Gwajima kusema kwamba atazungumza kitu kitakacho wastaajabisha watanzania, haikuwa kauli nzuri.
Ndio maana vyuo vikuu vya sasa hivi vinaonekana takataka kwa sababu ya watoto kama hawa. Hivi huyu aliingiaje chuo kikuu? Na inakuwaje hakamatwi na lecturers kwenye mitihani? Ovyo kabisa.Hawa watoto ndio wanachuo wa miaka hii?..
Fucken stupid....
Mjinga kama huyu ni wa kula kichwa takataka kabisa!
who is this creature, by the wayHuyu ni tapeli mkubwa
Hili nalo ni karakacha la wapi?Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua taharuki vinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa Dini, na alipoulizwa kuhusu kama ana kubaliana na utekeji katika nchi amejibu kwa asilimia 100 haridhiki na hali hiyo.
Alichokizungumza:
Askofu Gwajima yuko sahihi kukemea utekaji, hata yeye hakubaliani na utekaji wala mtanzania mwenye akili timamu hawezi kutetea utekaji. Ila amesema shida ni kwenye approach ya kuzungumzia hayo. Amesema mathalan, suala la Gwajima kusema kwamba atazungumza kitu kitakacho wastaajabisha watanzania, haikuwa kauli nzuri.
Rostam Aziziwho is this creature, by the way
Haaaaaa,Profesa Assad aliita "Acquired stupidity"Ukimsikiliza huyu mpuuzi unajifunza kitu kimoja. Elimu yetu sasa inatengeneza kitu kinaitwa Collective Stupidity.