Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu Nchini Ndg Geofrey Kiliba amewaeleza wanavyuo wa mkoa wa Dar es Salaam Kuwa huu ni wakati Sahihi Wa kuwakumbusha wasomi kuhusu uchaguzi, kupiga kura na kulinda amani va Taifa
Ndg Geofrey Kiliba ameyasema hayo akizungumza na wanafunzi Wa vyuo mbalimbali katika chuo kikuu Cha Kairuki, Dar es salaam akihitimisha ziara yake chuoni hapo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa kumi ya tanzania bara.