Kiliba: Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba, amesema viongozi wa CHADEMA wamekosa ukomavu wa kisiasa kwa kushindwa kutoa pole au kushiriki msiba wa aliyekuwa mume wa Rais Samia Suluhu, licha ya wao kujinadi kuwa na upendo na uchungu na Watanzania. Kiliba amewakosoa wanasiasa hao akiwemo John Heche na Godbless Lema akisema wameshindwa kuonyesha hata utu wa kawaida wa kibinadamu kwa mwanasiasa mwenzao.

Ameongeza kuwa ikiwa wanasiasa hao wanashindwa kuonyesha ukomavu baada ya miaka 35 katika siasa, wakipewa nchi wanaweza kuwaongoza wananchi kama mafarao. Kiliba amebainisha kuwa hata kama walishindwa kufika Kizimkazi kwa sababu za usafiri, walipaswa angalau kuandika taarifa ya pole kwa familia.

Soma Pia: Kiliba(Rais TAHLISO): Nilimwambia Rais naumia CHADEMA kukutukana upo kimya, basi turuhusu sisi vijana wakitukana, tuwatukane na sisi

“Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani” - KILIBA
 
Kiongozi gani wa CCM alienda kwenye huu msiba wa huyu mtoto waliyemuua?

IMG_8626.jpeg
 
Wapumbavu hawa chawa. Muuaji hapewi pole.
 
Huyu ni wali nazi
 
Kuna watu iko siku watahama nchi. Huyo kijana kichwani kajaza mkojo wa punda badala ya ubongo, hana akili ni mavi mavi tu. Hiki siyo kipindi cha kuleta siasa, yeye ni mwanafunzi asome. Ngoja afeli kwanza chuo ndiyo ajue mbwai na iwe mbawai
 
Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba, amesema viongozi wa CHADEMA wamekosa ukomavu wa kisiasa kwa kushindwa kutoa pole au kushiriki msiba wa aliyekuwa mume wa Rais Samia Suluhu, licha ya wao kujinadi kuwa na upendo na uchungu na Watanzania. Kiliba amewakosoa wanasiasa hao akiwemo John Heche na Godbless Lema akisema wameshindwa kuonyesha hata utu wa kawaida wa kibinadamu kwa mwanasiasa mwenzao.

Ameongeza kuwa ikiwa wanasiasa hao wanashindwa kuonyesha ukomavu baada ya miaka 35 katika siasa, wakipewa nchi wanaweza kuwaongoza wananchi kama mafarao. Kiliba amebainisha kuwa hata kama walishindwa kufika Kizimkazi kwa sababu za usafiri, walipaswa angalau kuandika taarifa ya pole kwa familia.

Soma Pia: Kiliba(Rais TAHLISO): Nilimwambia Rais naumia CHADEMA kukutukana upo kimya, basi turuhusu sisi vijana wakitukana, tuwatukane na sisi

“Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani” - KILIBA
Anauhakika alikuwa ni mume wake mpendwa?
 
Back
Top Bottom