Na wananchi waliuliwa na nyunyunyu akawakebekhi. CHADEMA ni chama cha wananchi“Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani” - KILIBA
Akienda yeye yatosha“Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani” - KILIBA
Kwani lazima?“Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani” - KILIBA
kambaku lya chijijichi?Mama Kibao alifiwa na mumewe nani alienda kumuona toka ccm?
Wapumbavu hawa chawa. Muuaji hapewi pole.Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba, amesema viongozi wa CHADEMA wamekosa ukomavu wa kisiasa kwa kushindwa kutoa pole au kushiriki msiba wa aliyekuwa mume wa Rais Samia Suluhu, licha ya wao kujinadi kuwa na upendo na uchungu na Watanzania. Kiliba amewakosoa wanasiasa hao akiwemo John Heche na Godbless Lema akisema wameshindwa kuonyesha hata utu wa kawaida wa kibinadamu kwa mwanasiasa mwenzao.
Ameongeza kuwa ikiwa wanasiasa hao wanashindwa kuonyesha ukomavu baada ya miaka 35 katika siasa, wakipewa nchi wanaweza kuwaongoza wananchi kama mafarao. Kiliba amebainisha kuwa hata kama walishindwa kufika Kizimkazi kwa sababu za usafiri, walipaswa angalau kuandika taarifa ya pole kwa familia.
Soma Pia: Kiliba(Rais TAHLISO): Nilimwambia Rais naumia CHADEMA kukutukana upo kimya, basi turuhusu sisi vijana wakitukana, tuwatukane na sisi
“Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani” - KILIBA
Halindi mgongo wake huyo uliokaa kama mbehe/beseni la mbao la kinyaturu.Hapa pana mtu kweli!!?
Huyu ni wali naziRais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba, amesema viongozi wa CHADEMA wamekosa ukomavu wa kisiasa kwa kushindwa kutoa pole au kushiriki msiba wa aliyekuwa mume wa Rais Samia Suluhu, licha ya wao kujinadi kuwa na upendo na uchungu na Watanzania. Kiliba amewakosoa wanasiasa hao akiwemo John Heche na Godbless Lema akisema wameshindwa kuonyesha hata utu wa kawaida wa kibinadamu kwa mwanasiasa mwenzao.
Ameongeza kuwa ikiwa wanasiasa hao wanashindwa kuonyesha ukomavu baada ya miaka 35 katika siasa, wakipewa nchi wanaweza kuwaongoza wananchi kama mafarao. Kiliba amebainisha kuwa hata kama walishindwa kufika Kizimkazi kwa sababu za usafiri, walipaswa angalau kuandika taarifa ya pole kwa familia.
Soma Pia: Kiliba(Rais TAHLISO): Nilimwambia Rais naumia CHADEMA kukutukana upo kimya, basi turuhusu sisi vijana wakitukana, tuwatukane na sisi
“Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani” - KILIBA
Anauhakika alikuwa ni mume wake mpendwa?Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba, amesema viongozi wa CHADEMA wamekosa ukomavu wa kisiasa kwa kushindwa kutoa pole au kushiriki msiba wa aliyekuwa mume wa Rais Samia Suluhu, licha ya wao kujinadi kuwa na upendo na uchungu na Watanzania. Kiliba amewakosoa wanasiasa hao akiwemo John Heche na Godbless Lema akisema wameshindwa kuonyesha hata utu wa kawaida wa kibinadamu kwa mwanasiasa mwenzao.