Kiliba: Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani

Amejuaje alikuwa mume wake "mpendwa?"
jua
 
Yeye aliyeamrisha maelfu kuuawa October 29 . Au yeye aliyefiwa mume mmoja ,hivi ni nani anayestahili kupewa pole na CHADEMA ???
 
Atapewaje pole wakati yeye kila siku anawaliza tu..!¡???

Tundu Lissu -Uhaini
Pambalu - Uhaini

No this is too much because they say, do unto others what you want them to do unto you.
 
Ile kauli ya kifo ni kifo inaniuma utazani mimi ni mtoto wa marehemu ALLY KIBAO
 

Haka nako kanatafuta mume. Watu hawataki kuoa siku hizi.
 
Nimemsikiliza Huyo Kiliba nimesikitika sana kama ndio watu wanaokuja kuwa future leaders its a mess
Hawa wangekuwepo kipindi kile ch kudai uhuru nina uhakika hadi leo Wakoloni wangekuwepo.
 
" Ukiona mwanafunzi wa chuo, anasoma miaka mitatu bila kugoma, huyo ni ama haelewi au anakariri masomo yake" ( chachage, s chachage) aliyekuwa mhadiri mwandamizi wa idara ya sosholojia UDSM
Huyu kiliba anasoma chuo kipi?
 
kwahiyo wa ccm wana ukomavu upi
 
Nimemsikiliza Huyo Kiliba nimesikitika sana kama ndio watu wanaokuja kuwa future leaders its a mess
ETI NAYEYE KAVAA PETE YA NDOA KWELI WAJINGA WANAOA PIA WAJINGA WENZAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…