PostGE2025 Kiliba: TAHLISO hatutoshiriki au kuunga mkono maandamano ya Disemba 9

PostGE2025 Kiliba: TAHLISO hatutoshiriki au kuunga mkono maandamano ya Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Rais wa TAHLISO Bw Godfrey Kiliba amesema jumuiya hiyo haitashiriki wala kuunga mkono maandamano yasiyo na ukomo yaliyopangwa kuanza Desemba 9, 2025, akitoa msimamo huo leo Desemba 7 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Huyu jamaa anaongea sana vitu vingine ni vya kukaa kimya tu. Siyo kazima kila kitu uweke neno hapo.

Taasisi zipo nyingi sana mwengine wapo kimya ila yeye sasa
 
Hizi ndio serikali za wanafunzi ambazo bibi kizimkazi alisema zinaweza kushurutishwa, yeye na serikali yake hawana mchango wowote ule
 
Screenshot_20251207-211747.jpg
 
Ao ni machawa ******* kwenye hii nchi.....wapo wengi alaf zero brain!!!
Mama samia naomba uswapende machawa maana wengi ni zero brain.......
 
Na vipo vingi.....vingine vishadisco ila vnatafuta namna ya kuteuliwa......wapuuzi hawa
 
Mpuuzi mkubwa,alifanya kikao na wenzake lini wakakubaliana kutoandamana.

Ni sawa na yale ya walimu wamchangia fedha ya kuchukulia fomu ya urais Samuya,ukijiuliza walimu wapi hupati jibu,Mimi mwenyewe sikuhusishwa.

Ni sawa ni CWT watoe tamko Leo kuwa walimu hatutaandamana,

mother fanta zake huyu kijana
 
Hizi propaganda zao waishie nazo huko huko uvccm. Watanganyika tunaandamana Desemba 9 kulikomboa Taifa.
 
Back
Top Bottom