Huyu jamaa anaongea sana vitu vingine ni vya kukaa kimya tu. Siyo kazima kila kitu uweke neno hapo.Wakuu,
Rais wa TAHLISO Bw Godfrey Kiliba amesema jumuiya hiyo haitashiriki wala kuunga mkono maandamano yasiyo na ukomo yaliyopangwa kuanza Desemba 9, 2025, akitoa msimamo huo leo Desemba 7 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Kwani tarehe 29/10 mliandamana?Wakuu,