Kilicho dhahiri shahiri CHADEMA ni kwamba, makamu mwenyekiti taifa anamuogopa mno mwenyekiti taifa

Sasa hapo kwenu mnasema kidumu ila hamfahamu kama kinavuja,bora panapo fuka moshi moto utawaka ila pamapovuja moto hauwezi kuwaka.
mbobevu muandamizi hanaga kambi maalumu ya kudeal nayo ispokua anasambaza upendo kwa maelezo ya kweli kisayansi,

ambatana na kuambatana nae sambamba uskose uhondo kisiasa,kijamii na kiuchmi. huwezi kukosa jua au kufahamu jambo kitaalamu kwa undani,

lakini pia utachota elimu na maarifa ya kukusaidia katika mambo mbalimbali ya maisha, kitaifa na kimatafa...

hata hivyo,
kwa kifupi sana vice chairman anamuogopa na kumunea aibu Mr chairman kama ukoma, usimwambie mtu πŸ’
 
Nikupe taarifa ewe kupe wa kijani.
Tundu Lissu ndiye mwanaume pekee aliucheza muziki wa Magufuli wakati vyama vyote, upinzani na ccm waliufyata kwa JPM.
Tundu Lissu ana dunia yake, amenyooka na hakupaswa kuizhi kwenye nchi ya machawa wa nchi hii
 
🀣mwaume gani anarukaruka na kubwekabweka pembeni ya reli badala ya kuzungumza kiume na wenzake huhusu dosari na kasoro zilizopo kwenye taasisi yao πŸ’

hayati Magufuli na huyu mjaa muoga wapi na wap sasa 🀣
🀣
 
Kwamba Lumumba na chadema machawa lenu moja inaongea bayana
 
Kwani chawa wa chadema nao ni wenzako?
 
Jidanganyeni,Lissu akienda chama chochote cha upinzani hicho chama ndio kitakua chama kikuu cha upinzani.
Habari ndio hio,ataondoka na kijiji chote
 
Nikupe taarifa ewe kupe wa kijani.
Tundu Lissu ndiye mwanaume pekee aliucheza muziki wa Magufuli wakati vyama vyote, upinzani na ccm waliufyata kwa JPM.
Tundu Lissu ana dunia yake, amenyooka na hakupaswa kuizhi kwenye nchi ya machawa wa nchi hii
Kupe wa kijani na chawa wa mwamba wote timu moja. Kwamba wote hao lao moja.

Makubwa!
 
Kwamba Lumumba na chadema machawa lenu moja inaongea bayana
jieleze vizur gentleman,

hoja mezani iko wazi sana,
usiogope, jiskie fahari upo na mtumishi, kiongozi kijana sana, kua na amani, jiskie huru na uchangie kijasiri usione aibu hata kama unachangia pumba tupu , kwasabu ndio utakua ukomo wa fikra zako ulipofikia, siku zingine utachangia point sawa eeπŸ’
 
Kwamba ndugu kutokea Lumumba na wanakounga mkono wote dhidi ya Lissu, ninyi si wote nzi wa kijani?
 
Kuliko kuwa chawa kwa wanaume wenzio bora ufe tu
kwahivyo mwanaume anapiga mayowe ya Furaha kuhusu rushwa halafu anapuuzwa, aise!🀣

halafu eti anatishia, ntahama chama mimi 🀣

sasa sijui anamwambia nani 🀣🀣🀣🀣
 
Kwamba ndugu kutokea Lumumba na wanakounga mkono wote dhidi ya Lissu, ninyi si wote nzi wa kijani?
kua huru tu gentleman,
kwamba fukuto baina ya kambi ya vice chairman na ile ya chairman inapelekea hali ya kuogopana na sasa kuna hali ya kuviziana baina yao na wafuasi wao,

kwa kifupi sana gentleman, unadhani nani alaumiwe katika hiki kinachoendelea chadema, hata kama unamuunga mkono vice chairman?πŸ’
 
Anahama lini mkuu tupe updates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…