Kilicho dhahiri shahiri CHADEMA ni kwamba, makamu mwenyekiti taifa anamuogopa mno mwenyekiti taifa

Sasa hapo kwenu mnasema kidumu ila hamfahamu kama kinavuja,bora panapo fuka moshi moto utawaka ila pamapovuja moto hauwezi kuwaka.
mbobevu muandamizi hanaga kambi maalumu ya kudeal nayo ispokua anasambaza upendo kwa maelezo ya kweli kisayansi,

ambatana na kuambatana nae sambamba uskose uhondo kisiasa,kijamii na kiuchmi. huwezi kukosa jua au kufahamu jambo kitaalamu kwa undani,

lakini pia utachota elimu na maarifa ya kukusaidia katika mambo mbalimbali ya maisha, kitaifa na kimatafa...

hata hivyo,
kwa kifupi sana vice chairman anamuogopa na kumunea aibu Mr chairman kama ukoma, usimwambie mtu 🐒
 
ni zaidi ya mara moja sasa huyu muungwana analalamikia nje ya reli kutuhumu chama chake mwenye kwa rushwa. na safari hii ameenda mbali zaidi na kutishia kukihama chama hicho. sasa sijui anamtisha nani pale chadema..
na mara zote amepuuzwa na viongozi waandamizi wenzake dhidi ya aina yake ya uwasilishaji malalamiko....

nadhani tegemeo lake kubwa sana ni huruma za wanachama nje ya uongozi kumuunga mkono, ndio maana mara zote akibaini dosari au kasoro ndani ya uongozi wa chadema anakuja kuripoti moja kwa moja kwa wanachama na wananchi, kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii..

hivi sasa,
ana kila dalili za kukata tamaa. maana style yake hiyo ya kulalamikia uongozi ambao yeye ni sehemu yake, imekua ikipuuzwa na kutokutiliwa maanani na viongozi waandamizi wenzake chamani, kwasabb nadhani sio utaratibu wao wa kushughulika na changamoto za ndani ya chama chao...

ni dhahiri hana imani kabisa na yeyote ndani ya chama chake miongni mwa viongozi wenzake, amejawa hofu na woga, hajiamini tena na hana ujasiri kabisa wa hata kumwendea mwenyekiti au katibu wake kumdokezea, kumnong'oneza au kumjulisha na pengine kumshauri kuitisha vikao vya ndani vya kawaida kwa majadiliano na hatua zaidi za kuchukua dhidi ya jambo fulani ambalo sio zuri, ili kurekebisha image na Imani ya chama chao mbele ya umma..

kumuogopa mwenyekiti wake kumemfanya aonekane bayana anajiandaa kujitenga na chama hicho. taharuki, ukosefu wa utulivu, ustahimilivu na subra dhidi ya chochote asichopenda kukiskia au kukiona ndani ya chama chake, kuna dhihirisha maandalizi ya kukihama chama hicho, lakini pia kuwavutia vyama vingine vya kisiasa kumpatia usaji na nafasi...

kama ilivyo kwa mtengeneza njia wake msigwa, tuhuma na malalamiko yao yanafanana na yanaelekezwa kwa mtu moja tu, ambae wote kwa pamoja walimuogopa sana na mpaka wa leo wanamuogopa mno..
'chairman'

mpendwa kiongozi,
uoga wako ndio umaskini wako. utaomba hisani, kuonewa huruma na kusaidiwa mpaka lini? jifunze kujitegemea tafadhali.

na kama kweli wewe ni msomi mbobevu wa sheria, uongozi na siasa; na mwenye ushawishi na wafuasi wengi nchini ; na mwenye sifa na vigezo stahiki vya uongozi vya kikatiba unaogopa nini kusema na kutenda? 🐒

kuchochea migawanyiko na mpasuko ndani ya chama chako, kuna dhoofisha imani ya wafuasi wako dhidi ya uwezo wako wa uongozi.forget about presidential candidature through your party come 2025🐒

Mungu Ibariki Tanzania..
Nikupe taarifa ewe kupe wa kijani.
Tundu Lissu ndiye mwanaume pekee aliucheza muziki wa Magufuli wakati vyama vyote, upinzani na ccm waliufyata kwa JPM.
Tundu Lissu ana dunia yake, amenyooka na hakupaswa kuizhi kwenye nchi ya machawa wa nchi hii
 
🤣mwaume gani anarukaruka na kubwekabweka pembeni ya reli badala ya kuzungumza kiume na wenzake huhusu dosari na kasoro zilizopo kwenye taasisi yao 🐒

hayati Magufuli na huyu mjaa muoga wapi na wap sasa 🤣
🤣
 
Kwamba Lumumba na chadema machawa lenu moja inaongea bayana
 
Kwani chawa wa chadema nao ni wenzako?
 
Jidanganyeni,Lissu akienda chama chochote cha upinzani hicho chama ndio kitakua chama kikuu cha upinzani.
Habari ndio hio,ataondoka na kijiji chote
 
Nikupe taarifa ewe kupe wa kijani.
Tundu Lissu ndiye mwanaume pekee aliucheza muziki wa Magufuli wakati vyama vyote, upinzani na ccm waliufyata kwa JPM.
Tundu Lissu ana dunia yake, amenyooka na hakupaswa kuizhi kwenye nchi ya machawa wa nchi hii
Kupe wa kijani na chawa wa mwamba wote timu moja. Kwamba wote hao lao moja.

Makubwa!
 
Kwamba Lumumba na chadema machawa lenu moja inaongea bayana
jieleze vizur gentleman,

hoja mezani iko wazi sana,
usiogope, jiskie fahari upo na mtumishi, kiongozi kijana sana, kua na amani, jiskie huru na uchangie kijasiri usione aibu hata kama unachangia pumba tupu , kwasabu ndio utakua ukomo wa fikra zako ulipofikia, siku zingine utachangia point sawa ee🐒
 
Kwamba ndugu kutokea Lumumba na wanakounga mkono wote dhidi ya Lissu, ninyi si wote nzi wa kijani?
 
Kuliko kuwa chawa kwa wanaume wenzio bora ufe tu
kwahivyo mwanaume anapiga mayowe ya Furaha kuhusu rushwa halafu anapuuzwa, aise!🤣

halafu eti anatishia, ntahama chama mimi 🤣

sasa sijui anamwambia nani 🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba ndugu kutokea Lumumba na wanakounga mkono wote dhidi ya Lissu, ninyi si wote nzi wa kijani?
kua huru tu gentleman,
kwamba fukuto baina ya kambi ya vice chairman na ile ya chairman inapelekea hali ya kuogopana na sasa kuna hali ya kuviziana baina yao na wafuasi wao,

kwa kifupi sana gentleman, unadhani nani alaumiwe katika hiki kinachoendelea chadema, hata kama unamuunga mkono vice chairman?🐒
 
kumuogopa mwenyekiti wake kumemfanya aonekane bayana anajiandaa kujitenga na chama hicho. taharuki, ukosefu wa utulivu, ustahimilivu na subra dhidi ya chochote asichopenda kukiskia au kukiona ndani ya chama chake, kuna dhihirisha maandalizi ya kukihama chama hicho, lakini pia kuwavutia vyama vingine vya kisiasa kumpatia usaji na nafasi...
Anahama lini mkuu tupe updates.
 
Back
Top Bottom