1Africa54
JF-Expert Member
- Feb 15, 2025
- 464
- 549
Mikoa ya kusini Lindi Mtwara na maeneo ya Ruvuma miaka mingi sana hakuna miundo mbinu Bora barabara ni viraka vitupu
Mfano kutoka liwale mpaka nangurukuli Zaidi ya 231km hakuna lami liwale to nachingwea hakuna lami ni tope
Somanga daraja bovu linaunga mikoa ya kusini
KOROSHO, UFUTA MBAAZI NA mazoa mengi ya biashara yapo kusini ila miundo mbinu duni
Mfano Kilimanjaro Hadi wilaya za vijijini na vijiji vyake lami zipo ukiaangalia wanalima migomba, kufuga nguruwe na kahawa shida nini kusini?