Kilichobaki ndani ya mfumo wa CCM kutafuta wa kisimama naye kama Nchi kubwa ikionekana kumkosoa

Kilichobaki ndani ya mfumo wa CCM kutafuta wa kisimama naye kama Nchi kubwa ikionekana kumkosoa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwa sasa kila idara kila sehemu ya taasisi zote za serikali zipo mikononi mwa CCM.

Anachotafuta ni nani wa kumlinda.

Nakumbuka hata maanguko mengi ya nchi hii ndio steji huwa wanatafuta wa kuwa msaada wao.

Uganda kuna kipindi alianza kufanya haya.
Msije shangaa kuna balozi zikafukuzwa.
 
Back
Top Bottom