Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa tulicheza mgambo, sungusungu, scout n.k lazima tufundishwe kasomo kadogo kanaitwa Chain of command.
Mdogo hupokea amri kwa mkubwa huku mkubwa na kutekeleza huku mkubwa akiendelea kuwa na authority ya kuwa na mamlaka ya kutoa amri na tena na tena.
Majaliwa Waziri mkuu tayari ameshapokea amri toka kwa mkubwa wake Makonda. Vice president ni void chair. Kikatiba hana authority, yuko tu kwaajili ya kutumwa au kusubiri dharura.
Kilichobaki sasa Makonda ampe amri Rais. Si mnasema yeye ni mwenezi hivyo hata Samia anapaswa kupewa amri kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati ili CCM izidi kuwa imara.
Kidumu chama cha mapinduzi