1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
[emoji23]Mimi shabiki wa Man U.
Lakini naziona options mbili. Ngumu kama ilivyokuwa Liverpool kuifunga Barca 4 bila.
Option ya kwanza, Liverpool watatoka kapa msimu huu.
Option ya pili, Liverpool atatoka na double ya UEFA Champions League na Bingwa wa EPL.