Kilichofanyika Msomera hakikuwa sherehe za kimila za Wamasai, zilikuwa sherehe za CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.

Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI

Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
 
Tamasha la wanasai linaongozwaje na Wanaccm?
hilo nalo linakuuma kweli?
wakati mwingine unavumilia yanapita bila kuonyesha ghadhabu ulizonazo, utaumia sana na vitu visivyo na haja ya kuumiza mutima na kumkichwa
 
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.

Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI

Tamasha la wanasai linaongozwaje na Wanaccm?
Sawa tu, kwani kuna ubaya gani? Mila zetu tangiapo ziko pamoja na za Chama, yaani CCM ni mtoto wa hizo mila.
 
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.

Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI

Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
Ma Laigwan walishatoa tamko kwamba tamasha lao linafanyika huko Umasaini chini ya mti wao mtakatifu wa kimila.. Hizo za Msovero ni za wahuni wa chama chawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.

Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI

Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
CCM ni chama cha Propaganda. Vyama vyote vya Kikomunist huwa vinaishi kwa propaganda.
 
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.

Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI

Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
Ccm wahuni sana
 
Back
Top Bottom