Kilichofanyika Msomera hakikuwa sherehe za kimila za Wamasai, zilikuwa sherehe za CCM

Wenye umasai wao wameshasema tamasha lao halifanywi kila mahali, hilo likikuww genge la Bibi sa100 na matahira wenzake.
 
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.

Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI

Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
Wamasai hawawezi kuwa wanaccm?
 
Tangua yule maza kusema katiba ya nchi ni kakitabu ...... sina hamu nao tena .... hizo maigizo ni mwendelezo tu ..... nikashangaa wamasai lini wakawa wana ccm
 
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.

Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI

Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
Hivi nani alikuambia kuwa Ngorongoro ndiyo eneo asilia la Wamasai? Na je unajuwa kuwa Wamasai siyo jamii ya kwanza kuhamishwa kwenye makazi waliyopo na kupelekwa sehemu nyingine kwa ajili ya manufaa mapana ya kitaifa.

Wamasai walihamishwa kutoka Serengeti mwishoni mwa miaka ya 1950 kwa amri ya Governor wa Tanganyika wakati huo.

Pili kuna jamii za wachagga zilihamishwa miaka ya 1960 kutoka Kilimanjaro kwenda Turiani.

Kuna jamii za Wasukuma huku Bulyanhulu na Wakurya huko Tarime zililamishwa kupisha machimbo ya madini.

Wamasai kwenda Msomera Handeni ni kitu cha kawaida tu
 
Hii ni hoja nyingine
 
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.

Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI

Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
Huenda Wamasai ni wana-CCM.
 
Back
Top Bottom