Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
hilo nalo linakuuma kweli?CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.
Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI
Tamasha la wanasai linaongozwaje na Wanaccm?
Sawa tu, kwani kuna ubaya gani? Mila zetu tangiapo ziko pamoja na za Chama, yaani CCM ni mtoto wa hizo mila.CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.
Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI
Tamasha la wanasai linaongozwaje na Wanaccm?
Tusichotaka ni uongohilo nalo linakuuma kweli?
wakati mwingine unavumilia yanapita bila kuonyesha ghadhabu ulizonazo, utaumia sana na vitu visivyo na haja ya kuumiza mutima na kumkichwa
samahani bana kama huumii mutima. Nimeghafilika kidogo. kumbradhi kamanda...Tusichotaka ni uongo
Ma Laigwan walishatoa tamko kwamba tamasha lao linafanyika huko Umasaini chini ya mti wao mtakatifu wa kimila.. Hizo za Msovero ni za wahuni wa chama chawalaCCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.
Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI
Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
eti wahuni dah😛😀Ma Laigwan walishatoa tamko kwamba tamasha lao linafanyika huko Umasaini chini ya mti wao mtakatifu wa kimila.. Hizo za Msovero ni za wahuni wa chama chawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashauri viongozi wawe wanasoma Katiba, kile Si kijitabu!!![emoji419][emoji375]Na mahakama imeshapigilia msumari kuwa Tangazo la sirikali kuwaondoa maasai Ngorongoro ni BATILI.
Nawashauri viongozi wawe wanasoma Katiba, kile Si kijitabu!!!
ngoja tuone mwisho waoNa mahakama imeshapigilia msumari kuwa Tangazo la sirikali kuwaondoa maasai Ngorongoro ni BATILI.
Nawashauri viongozi wawe wanasoma Katiba, kile Si kijitabu!!!
CCM ni chama cha Propaganda. Vyama vyote vya Kikomunist huwa vinaishi kwa propaganda.CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.
Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la uongo la eti TAMASHA LA KIMILA LA WAMASAI
Tamasha la wamasai linaongozwaje na Wanaccm?
sawa nabii
uko sawa kabisa, Kwan kuna ubaya ganiCCM ni chama cha Propaganda. Vyama vyote vya Kikomunist huwa vinaishi kwa propaganda.
Ubaya ni kwamba propaganda nyingi zina uongo mwingi. Mfano mdogo ni propaganda zilizoenezwa kuhusu Covid wakati wa JPM.uko sawa kabisa, Kwan kuna ubaya gani
2025 tunachukua nchi 🤣Ubaya ni kwamba propaganda nyingi zina uongo mwingi. Mfano mdogo ni propaganda zilizoenezwa kuhusu Covid wakati wa JPM.
Ccm wahuni sanaCCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.