Kilichofanywa na Ali Salim dhidi ya Che Malone ni ushamba na ujinga

Hivi kama wangekunjana kadi zingehusika?

Naona refa hakuwatilia maanani kisa wako timu moja.
 
Kimwili kakua imetosha ,palipobakia sasa akili zake zitulizwe
 
Unatetea ujinga wewe TOPOLO. Ule mpira ungeingia nyavuni wa kwanza kulaumiwa angekuwa ni goalkeeper. Alikuwa analinda kuchafuliwa clean sheet yake kutokana na uzembe wa ukuta wa Yeriko.
Kwa hio kumfokea mwenzake kama mtoto ndio ujanja? jana angekua Yondani leo habari zingekua zingine
 
Kama hujawahi kucheza soka unaweza kuona kama ni jambo hatari. Mambo ya kawaida hayo joto la game likipanda
 
Ni sahihi, jamaa anafanya uzembe na makosa mengi na ndio maana ni nadra sana Simba kuwa na clean sheet. Ilitakiwa afokewe vile vile.
 
Kama hujawahi kucheza soka unaweza kuona kama ni jambo hatari. Mambo ya kawaida hayo joto la game likipanda
Mara ngapi Ali kafungwa kwa kutema mipira kuna mtu alimfokea? kucheza kama timu maana yake mwenzako anapo kosea una clear mnaelekezana sio kufoka tu ingetosha sio kumsukuma tena mara mbili sio moja hapo unatafta ugomvi
 
Kama hujawahi kucheza soka unaweza kuona kama ni jambo hatari. Mambo ya kawaida hayo joto la game likipanda
Kwani hawakuona wanapongezana mara tu baada ya kuokoa shambulizi hatari Sana.kawaida Sana Ile...ila du nikama kaibu kumsukuma mtu mzima vile
 
Nimekumbuka Onana wa Man u alivoanza na mbwembwe za kumfokea Maguire mara nae akaanza kutoa maboko. Ni ushamba flani wanakuwa nao baadhi ya wachezaji
 
Reactions: ITR
Mkuu Che malone ni mtu mzima sio unaweza kumuonesha ukali bila kumsukuma na akakuelewa ,kwa kilicho tokea jana kama sio uvumilivu ulio pitiliza wa Che malone tungeshudia maafa.
 
Tena bora hata ange msukuma mara moja tu tumgesema labda ni bahati mbaya lakini ali msukuma zaidi ya mara 3 licha ya juhudi za Che malone kujaribu kumuepuka lakini dogo alikuwa anazidi kumfuata huku akimusukuma pamoja na hilo mshikaji alichukulia poa na hilo tukio hali kumtoa mchezoni.
 
Hivi kama wangekunjana kadi zingehusika?

Naona refa hakuwatilia maanani kisa wako timu moja.
Kupigana ndani ya pich ni haramu haijalishi mnatoka timu moja.
 
Anamuiga Diarra, mwenzake huwa hafanyi hivyo b…
Mfundisheni kijana wenu kabla hajakutana na ngoma ngumu akachakaa.
 
Reactions: ITR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…