Kilichofanywa na Ali Salim dhidi ya Che Malone ni ushamba na ujinga

Huyu hakuwahi kuwashuhudia hakina Mwameja wakiwapiga kwenzi hakina George Masatu. Hilo ni jambo la kawaida tu kwa wachezaji .
 
Huyu hakuwahi kuwashuhudia hakina Mwameja wakiwapiga kwenzi hakina George Masatu. Hilo ni jambo la kawaida tu kwa wachezaji .
Mkuu usimpe kichwa ipo siku ataingia kwenye anga mbaya atachakaa kufoka kwa mdomo kinatosha kumkanya na sio kujitia umwamba wa kumsukuma.
 
Anamuiga Diarra, mwenzake huwa hafanyi hivyo b…
Mfundisheni kijana wenu kabla hajakutana na ngoma ngumu akachakaa.
Ngoja aje aingie kwenye anga za Kanote alete ufala kama jana aone kama haja chakaa.
 
Ngoja aje aingie kwenye anga za Kanote alete ufala kama jana aone kama haja chakaa.
Yule Kanote namuonaga mpole huwa nashangaa anapewa vipi red kila uchwao?
Huwa ananishangaza kweli!
 
Hata mimi nililiona hilo huo ni ushamba wote wanajenga nyumba Moja kulikuwa hakuna haja ya zile kelele,(overreaction)
 
Picha muhimu.
 
Anamuiga Diarra, mwenzake huwa hafanyi hivyo b…
Mfundisheni kijana wenu kabla hajakutana na ngoma ngumu akachakaa.
Hili siyo suala la kumuiga nani sijui b..., ila mafunzo ya mpira niliyopita wakati nakua yanasema, kipa hapaswi kuwa mnyonge mbele ya makosa ya beki.

Ova
 
Mkuu Che malone ni mtu mzima sio unaweza kumuonesha ukali bila kumsukuma na akakuelewa ,kwa kilicho tokea jana kama sio uvumilivu ulio pitiliza wa Che malone tungeshudia maafa.
Mkiwa kwenye kikosi kinachocheza uwanjani nyote mko rika moja, hakuna mtu mzima wala mtoto, nyote mnaenda na lugha moja tu.

Kwa mchezaji aliyeshiba mafunzo hawezi kupigana kwa kuelekezwa na kipa wake. Ndiyo maana Che Malone alielewa na kupunguza makosa.

Ova
 
Kwenye shule za soka mlifundishwa kupigana mwenzako akikosea?
Labda hujui soka mkuu. Mimi nazungumzia tukio la jana la Salim siyo la kupigana. Na kama Salim angekuwa amepigana na Che Malone angepewa kadi nyekundu.

Ova
 
Yule Kanote namuonaga mpole huwa nashangaa anapewa vipi red kila uchwao?
Huwa ananishangaza kweli!
Yule jamaa ni mpole lakini ukiingia kwenye anga zake hashikiki hata wachezaji wenzie wana mjua utofauti wake na nyoso ni Nyoso anapuliza moshi wakati kanote ni mwana dini.
 
Yeye ni mara ngapi anafanya makosa yanayo igharimu timu je alisha sukumwa na nani vile?

Jana Ali Salimu alikuwa haelekezi bali alikuwa ana tafuta ugomvi kwa razima ,huwezi kumsukuma namna hiyo mtu mzima zaidi ya mara tatu.

Che malone alikuwa anajaribu kumuepuka lakini bado dogo ana mfuata na kumsukuma.
 
Hii ina-sound kama vile unasema mzazi naye huwa anakosea mara ngapi, mbona wanawe hawachukui fimbo kumtandika bakora.

Ova
 
Yule Kanote namuonaga mpole huwa nashangaa anapewa vipi red kila uchwao?
Huwa ananishangaza kweli!
Upole wake ni wa mwonekano tu, ila kwenye vitendo ni tofauti. Unamkumbuka JK?

Ova
 
Hili siyo suala la kumuiga nani sijui b..., ila mafunzo ya mpira niliyopita wakati nakua yanasema, kipa hapaswi kuwa mnyonge mbele ya makosa ya beki.

Ova
Wewe utakubali sasa b…?

Sijapinga hilo, ndio maana nikasema mfundisheni, kuna namna za kusema na mabeki zake sio kwa namna ile.
 
Wewe utakubali sasa b…?

Sijapinga hilo, ndio maana nikasema mfundisheni, kuna namna za kusema na mabeki zake sio kwa namna ile.
Mtu huonywa sawasawa na uzembe wake b..., ukifanya uzembe mkubwa utakoromewa vivyo hivyo. Ng'ombe huchinjwa kwa namna anavyolala.

Ova
 
Huyu hakuwahi kuwashuhudia hakina Mwameja wakiwapiga kwenzi hakina George Masatu. Hilo ni jambo la kawaida tu kwa wachezaji .
acheni kusifu upuuzi mambo mengine sio ya kusifia kama kocha hawezi kumfanyia hivyo mchezaji Ike kua mchezaji mwenzake?
 
Yaani umenena mkuu, he is barbarian! Pongezi kwa Che Malone kutuepusha Simba na aibu ya mwaka! Maana angereact, yaani wangerushiana makonde, hapo ndipo aibu, yaani watu wangesema, kuandika na ata mabango wangebandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…