Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Duniani kote uende Ulaya, Amerika au Marekani ya Kaskazini wazee huwa ndio washauri na ndio huwa wanatoa maoni juu ya suala lolote muhimu juu ya mustakabali wa taifa au nchi yao.
Mzee Lyatonga Mrema aliwaonya wapinzani msio na busara hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa JPM anatimiza yale ambayo watanzania walikuwa wanahitaji yafanyike hapa Tanzania ili kuleta maendeleo ya Watanzania.
Ninyi Chadema na ACT Wazalendo mkaleta siasa njaa za kutumiwa na Mabeberu kujifanya mnapingana na Watanzania ambao wanahitaji kiongozi kama JPM ili wapate maendeleo.
Lyatonga Mrema aliwashauri vizuri mno, kuwa sasa tuna rais ambae anatufaa Watanzania maana amedhibiti rushwa na ubadhirifu masuala ambayo ndio sababu ya kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi maana pesa nyingi hupotea kwa sababu ya rushwa na ubadhirifu na wananchi kukosa maendeleo.
Sasa tujiulize swali dogo tu la msingi, mlitegemea Watanzania wasichague CCM ambayo imefanya wonders kwa miaka minne kujenga vituo vya afya 499, hospital za wilaya 67, afya elimu na miundo mbinu imeimarishwa kwa 100%! Na mlijipanga vipi kukabiliana na chama kama CCM ambacho akina mama ambao ndio wapiga kura sasa hawaendi mbali kupata huduma za afya?
Nasisitiza Chadema na ACT Wazalendo, muwe na kasumba ya kusikiliza wazee kama Lyatonga Mrema ambao wanajua siasa kwa undani, maana uzoefu wa kufanya kazi za intelijensia unawapa mwanga wa kutanabaisha nini kinaweza kutokea. Mmeangukia pua, nafasi ya kumuona Lyatonga Mrema kwa ushauri ipo, labda Chadema na ACT Wazalendo mtanyanyuka tena 2030.