Kilichoiponza CHADEMA ni kutosikiliza maoni ya wazee kama Lyatonga Mrema

Jiwe kashasema hatofanya mabadiliko yeyote kwenye vyeo vya RC,DC,DAS,RAS etc Labda kwenye Viti Maalum ndio hajasema ila kuna nafasi 5 kwa wanaume na kila nikiangalia katika hao wanamme mara nyingi anafanya ili awape uwaziri,sasa nikiangalia maandiko yako inaonekana ni "EMPTY SET" aka "ZERO BRAIN" sidhani kama anaweza kukupa.
 
Ccm imefanya wonders ndani ya miaka minne😂😂😂😂😂😂 Mkuu kasema hafanyi uteuzi tena waliopo waendelee, usijipendekeze hakuna uteuzi tena.
 
Ccm imefanya wonders ndani ya miaka minne😂😂😂😂😂😂 Mkuu kasema hafanyi uteuzi tena waliopo waendelee, usijipendekeze hakuna uteuzi tena.
Ahaaaa, kwani mtu kutoa maoni yako ndio kusaka teuzi? Na maisha yanaenda kwa teuzi tu pekeee?
 
Mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ni mzuri sana.Mfumo wa chama kimoja ni janga!!! Tusubiri,wakati utaamua.
 
Kwani alimpa JPM beberu la mbuzi ili awe mbunge?
Misingi ya uzi wako ipo kwenye Lyatonga kuwa mzee ‘busara’ anaye paswa kusikilizwa! Hekima yake hiyo ya kupeleka beberu kama haikuweza kimsaidia yeye, itamsadia nani?
 
Huyo wewe na familia yako ndio msikilizeni,kijijini kwake tu walishamchoka apumzike mana amekua na rangi za kinyonga usoni.
Mpe hela aende india atibu mtibwa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…