Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Chadema mlimwaga sera Kwa wananchi na wananchi na wananchi wakazikubali sera zenu wakakupeni kura zao mkazoa majimbo mengi tu na hatimaye Chama kikawa kinapata ruzuku kubwa sana
Mkajisahau kama wananchi wanamchango mkubwa sana katika ruzuku mnazo zipata
Mlitakiwa muwe mnarudusha shukran Kwa wananchi Ili waendelee kuona umuhimu wenu
1) mlitakiwa mnunue vitanda vya wajawazito na kupeleka hospital yoyote Kila Baada ya mwaka au miezi kadhaa
2) mlitakiwa mnunue madawati na kupeleka katika shule Kila Baada ya mwaka au miezi kadhaa
3) Katika ofisi zenu mlitakiwa muwe na vifurushi vya vifaa vya kujifungulia wajawazito Ili wasio na uwezo wawe wanakuja kuichukua
4) Mlitakiwa mnunue baiskeli za walemavu na kugawa Kwa walemavu wasio na uwezo wa kununua baiskeli
5) Mlitakiwa muwe na mikopo yenye mashariti nafuu Kwa akina mama wajasilia Mali wadogo wadogo
Hapo mngekuwa mmegusa makundi yote ya wapiga kura wenu
Yani kama mngefanya hayo mngekuwa mnazoa kura bila ya shida yoyote