William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Yule sio kipa ni pazia, bora hata pazia linazuia mvua na jua.Unamuacha golikipa wa Maana kama John Noble unahangaika na akina Ayoub.
Shame.
Wamemto Morocco uko. Kwa fedha za moo. Hajawahi kuuzwa alikuwa anachukuliwa bure tu. Kutoka Berkane to Far Rabat. Gafla simba wakaweka mchongo wao bilion 3. Mo amepania akiiacha timu na mikataba mizito ya wachezaji ishindwe kujiendeshaAmenunuliwa toka club gani? au hizo bilioni tatu alipewa yeye?
Mwamedi ndio alitoaAmenunuliwa toka club gani? au hizo bilioni tatu alipewa yeye?
Mbona mnamwandama Ayubu jamani,hapa kwani alikuwepo?Yule sio kipa ni pazia, bora hata pazia linazuia mvua na jua.
Yulee mbwaaa ananikeraa sanaa, mfyuuu zake.
Ila mashabiki wa simba wengi ni mbumbumbu eti!! Na kutokana na huu umbumbumbu wenu, Mwamedi amekuwa akiwadanganya vile apendavyo.Kila aliyepinga usajili wa Ayoub Linkel alishugulikiwa.
Timu iliyoshindwa kulipa wachezaji bonasi za zaidi milion 500 msimu huu na uliopita. Iliumiza sana wachezaji kuona inapata billion 3 kusajili kipa garasha..
Waliifunga yanga 2-0 wakazulumiwa bonasi zao za m 300.
Kabla ya gemu Mo kaja na uongo ule ule. Kaweka mezani kwenye begi million300. Katoa ahadi wakishinda. Nani angeamini.
Viongozi bado wanataka kupiga dili tena kuleta kocha mweupe wa mchongo.
Thamani halisi ya ayoub Lakred ni dola m 1.3 sawa na tsh bilion 3. Fedha yote aliyotoa mo usajili msimu huu ilimnunua huyu jamaa pekeyake.
View attachment 2809057