Kilichoiua Simba ni usajili wa kipa kwa billioni Tatu na kumwadhibu yeyote alijejaribu kupinga usajili huo

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Kila aliyepinga usajili wa Ayoub Linkel alishugulikiwa.

Timu iliyoshindwa kulipa wachezaji bonasi za zaidi milion 500 msimu huu na uliopita. Iliumiza sana wachezaji kuona inapata billion 3 kusajili kipa garasha..

Waliifunga yanga 2-0 wakazulumiwa bonasi zao za m 300.

Kabla ya gemu Mo kaja na uongo ule ule. Kaweka mezani kwenye begi million300. Katoa ahadi wakishinda. Nani angeamini.

Viongozi bado wanataka kupiga dili tena kuleta kocha mweupe wa mchongo.

Thamani halisi ya ayoub Lakred ni dola m 1.3 sawa na tsh bilion 3. Fedha yote aliyotoa mo usajili msimu huu ilimnunua huyu jamaa pekeyake.

Screenshot_2023_1109_204335.png
 
Unamuacha golikipa wa Maana kama John Noble unahangaika na akina Ayoub.
Shame.
 
Amenunuliwa toka club gani? au hizo bilioni tatu alipewa yeye?
Wamemto Morocco uko. Kwa fedha za moo. Hajawahi kuuzwa alikuwa anachukuliwa bure tu. Kutoka Berkane to Far Rabat. Gafla simba wakaweka mchongo wao bilion 3. Mo amepania akiiacha timu na mikataba mizito ya wachezaji ishindwe kujiendesha
 
Kila aliyepinga usajili wa Ayoub Linkel alishugulikiwa.

Timu iliyoshindwa kulipa wachezaji bonasi za zaidi milion 500 msimu huu na uliopita. Iliumiza sana wachezaji kuona inapata billion 3 kusajili kipa garasha..

Waliifunga yanga 2-0 wakazulumiwa bonasi zao za m 300.

Kabla ya gemu Mo kaja na uongo ule ule. Kaweka mezani kwenye begi million300. Katoa ahadi wakishinda. Nani angeamini.

Viongozi bado wanataka kupiga dili tena kuleta kocha mweupe wa mchongo.

Thamani halisi ya ayoub Lakred ni dola m 1.3 sawa na tsh bilion 3. Fedha yote aliyotoa mo usajili msimu huu ilimnunua huyu jamaa pekeyake.
View attachment 2809057
Ila mashabiki wa simba wengi ni mbumbumbu eti!! Na kutokana na huu umbumbumbu wenu, Mwamedi amekuwa akiwadanganya vile apendavyo.

Hivi bilioni 3 unafikiri ni pesa ya mchezo mchezo!! Caesar Manzoki wa milioni 500 mlishindwa kumsajili! Halafu golikipa garasa ndiyo asajiliwe kwa bilioni 3!!

Amkeni nyinyi kutoka usingizini. Mwamedi anawachezea shere.
 
Back
Top Bottom