Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Sijaelewa tofauti ya kesi namba 456 na 457 ...mbona zote ni kesi moja ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Mkuu...!!!Hii ni kesi dhidi ya Melo & Mike(Jamii Forums), na JF ni sisi members, akishindwa Melo tumeshindwa wote humu.
Naamini tutashinda.
Sijaelewa tofauti ya kesi namba 456 na 457 ...mbona zote ni kesi moja ?
Miie wakiifungia JF ntawalaani kwa mengii. Mike na Max mna watu wengi nyuma yenu basi tu hatuwezi wote kuwa mbele. Mungu ni mwema mtalivuka jaribu hili salama.Ni kweli Mkuu...!!!
Wanataka kutuvurugia KIJIWE chetu,hawajui wengine hatujazoea na hatuna muda wa kushinda kwenye vile vijiwe vya Kahawa/Bange/Plama nk ambavyo wameweka informers wao.
JF its where we dare to talk open bila kupata matatizo yoyote ili mradi usitukane MTU bhuna..,yani unakaa ofisini au chumbani au kwenye gari au subuleni kwako unaeleza hisia zako.
Mods Mungu yu pamoja nasi tutashinda tuu.
Kuitwa mahakamani MARA 60 sio mchezo!
Kwahiyo hizo kesi zimefikia wapi? Mara ya mwisho nakumbuka zilikua zinasikilizwa mfululizo ili mahakama itoe hukumu.
Niende nje ya mada, wale HACKERS wa kichina wanaoisaidia serikali, hawawezi kudukua taarifa za members humu?! Usalama upo wa kutosha?!
Nashukuru kwa majibu yako.Mkuu, saizi zinaendelea kusikilizwa kama kawaida. Yes, December 2017 tulienda mkikimkiki sana (wiki mbili mfurulizo), ila ghafla ikaamuriwa hukumu zimeahirishwa hadi mwaka huu 2018.
SwafiiiiMwafwi Munda, usalama ni wakutosha. Usitie shaka kabisa juu ya hilo. Wewe endelea kujiachia kwa kuzingatia sharia za JamiiForums 🙂
Am so happy to see you Asha D Abinallah .
In God we trust long live jf.
Lkn ukweli ni kwamba serikal haiwezi kutufunga midomo watanzania wote.
Imagine kwenye vyombo ya usafiri hatutakiwi kujadili Hali ya siasa wala uchumi.....
Mkikaa kijiaen Nako hairuhusiwi mnaitwa wazururaj ama.wapiga dili.
Mavyuoni nako sio rasmi lkn wanavyuo Hawaii huru kujadili haya kwa uwazi
Mm najiuliza hivi Ben aliyetuambiaga uwazi na ukweli na kkwa sera yake hii hakuna hata aliyepata lash ash. Kwann Sasa iwe hata tukisema yale ambayo yangesaidia serikal kufichua uovu nayo tunanyimwa?
Mfano mzuri jaman ni Hali ya ugonjwa waa malaria nchini na kuongezeka kwa mazalia ya mbu. Yaan mtu pata dalili zote za malaria ukienda Hosp kwenye mrdt ataambiwa malaria neg. Ila nenda wanakopima kwa microscope utakuta unayo. Huu ni uongo mwingine Ambao serikal haitaki usemwe kwamb malaria Bado haijadhibitiwa. Lkn mtu unahofia ukiwka bandiko unamuongezea tema maxence kesi ingine.
Jaman tuachwe tuseme kwa uwazi na ukwel
Ni kweli Mkuu...!!!
Wanataka kutuvurugia KIJIWE chetu,hawajui wengine hatujazoea na hatuna muda wa kushinda kwenye vile vijiwe vya Kahawa/Bange/Plama nk ambavyo wameweka informers wao.
JF its where we dare to talk open bila kupata matatizo yoyote ili mradi usitukane MTU bhuna..,yani unakaa ofisini au chumbani au kwenye gari au subuleni kwako unaeleza hisia zako.
Mods Mungu yu pamoja nasi tutashinda tuu.
[emoji122][emoji122][emoji122] matured and bright man.Hii ni kesi dhidi ya Melo & Mike(Jamii Forums), na JF ni sisi members, akishindwa Melo tumeshindwa wote humu.
Naamini tutashinda.
Ila wee jamaa uko smart nahisi una gruop 0+ la damu .Hata waite mara 10,000 ila hao ' Waitaji ' watambue tu ya kwamba Mwenyezi Mungu yupo upande wa JamiiForums na wataibuka Washindi. JamiiForums msiogope kwani ' Dua ' zetu siku zote zipo nanyi na tambueni ya kwamba tunawapenda Kunakotukuka.
Ila wee jamaa uko smart nahisi una gruop 0+ la damu .
Lasivo wew ni wale usalama wasio rasmi.
Nadhani umeshanielewa.