Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Haya jamani wale Mashilawadu mlioalikwa kwenye Arobaini ya Nillan please msitusahau kutupenyezea maubuyu.

Nillan kaavaje?

Jamani mhakikishe mnaichunguza vizuri nyumba ya Diamond mtupe umbea ikoje, maana nasikia sherehe imeanza toka saa tano.

Mmhh kama namuona Halima Kimwana vile na mijishauo yake..

Katika hali ya kuonyesha kuwa hana imani na wageni waalikwa walioudhuria party ya mwanae, mjasiriamali zari ameamua kubeba kabisa funguo za nyumba yake mkononi jambo lililozua minongono kwa baadhi ya waalikwa, zari hataki upuuzi kabisa anaogopa kuibiwa dhahabu zake, bora mwaego ufiche kabisa hata ungeweka kwenye pichu kabisa kwanza wabongo washirikina hawachelewi kufanya yao,sema umejitahidi kujikaza naona party walijaa watu wa tandale tu, bibie ukaamua kujikaza kujumuika na
 
nipo hapa nitaleta mrejesho msijali!
Kwa kuanza tu Namuona romyjons na mwanae, ricardomomo na wenzie wamevaa kinaijeria.........

nitarudi
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/451daa6bb90309fda40ffa1dba21c5a4.jpg[/IMG
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/24fa9df9c8794d56b271fcb92abf889a.jpg

Thanks Naseeb Abdul for invite
Usicheze mbali soon

Tutaweka picha prince nillan uwewakanza kumuona
 
Haya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
 
Asilimia ngapi eti!
Teh teh teh kuna kaukweli fulani kachungu sana hapa.
 
hapo kwenye kutimiza siku 40 leo, hapana huyo mtoto ana zaidi ya,siku 60.....leo wanasherekea tu. btw ujumbe wako nimeusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…