Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

KWELI INABIDI TUMUOGOPE MUNGU.SHEKH KAZI YAKE NI KUKEMIA MAOVU HAPO YEYE ANAUNGA MKONO.ANGEWASHAURI WAFUNGE NDOA KWANZA.

Kuna kufunga ndoa kati ya Mkristo na yule mwingine?

Italazimika Zari amkane Kristo kwanza, ataweza kama anakielewa alichokikimbia kule?

Mimi nadhani hatua ya kwanza ni kumpata Mtumishi wa Mungu, aseme na Sibu, Sibu ajifunze habari za Mungu. Akimjua Mungu, wafanye maamuzi kwa ufahamu maamuzi ya kweli.

Hii ukungu ukungu hii, hata haeleleweki ni kwa nini wanapotezeana mida hawa jamaa. Lakini nawahurumia sana watoto wa Zari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…