Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaa haaaa kudadeki [emoji23][emoji23] kufa hakuna brekiShehe mchumia tumbo huyo,watoto wa Zinaa hao.
Kwanza Diamond si muislam mwenzetu
eti "tiffa rapa"Nillan a.k.a tiffa rapa(watoto copirait hadi raha)View attachment 469443
Kamshtak kwa makondaHuyu udaku ndo zake, alishawahi kucopy uzi wangu hata credit sikiambulia
Warumiiiiaaah unanivunja mbavu
Asee masihara pembeni...liwolper limetia aibu sana...zari kaona bora akae nazo haamini mtu,dah kweli zari kiboko ya chafuu, maana hawachelewi kugeuza guest walale na domo, kawakomesha, na wolper alivyolewa vile mmh angemsaulia domo angejipigia fasta
Na wale wanasema Zari ni mchawi, sasa sijui nani ataibuka na kikombe hapo.Anajua wale jamaa wa Madale ni wachawi wachawi mno
Kila mtu kazaliwa ili awe yeye TANMOHaya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Shiiiii....sema taratiiibu wasikusikie waleeeeumri nao mkuu +idadi a watoto alifyatua[emoji6] [emoji6] ..!!!.. kiukweli ni grandmaa'.....[emoji87] [emoji87] .....
Mbona kama kweliKafanana na Ivan
angalia pua,macho na lips za juu.Mbona kama kweli
Basi tufanye iwe ngoma draw.Na wale wanasema Zari ni mchawi, sasa sijui nani ataibuka na kikombe hapo.