Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooo!!noma sana.Queen Darling hakawii kuiba wig la bei ghali.
Naona unataka ulete ligi ya udini hapa umbea tu bibi wewe upooo?kumbe mnaijua rangi ya mtume sasa mbna wale wafaransa wAliomchora mtume mlikuw Mnawatukana?
Itakuwa ndo aka yake mpyaNdo mana nikataja wema hamna binadamu anayefanana na nyumbu au mnyama yoyote.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] maneno ya kiumeNaona watu mnaanza kurushiana maneno badala ku-appreciate.
"Trust no one and suspect every one"Katika hali ya kuonyesha kuwa hana imani na wageni waalikwa walioudhuria party ya mwanae, mjasiriamali zari ameamua kubeba kabisa funguo za nyumba yake mkononi jambo lililozua minongono kwa baadhi ya waalikwa, zari hataki upuuzi kabisa anaogopa kuibiwa dhahabu zake, bora mwaego ufiche kabisa hata ungeweka kwenye pichu kabisa kwanza wabongo washirikina hawachelewi kufanya yao,sema umejitahidi kujikaza naona party walijaa watu wa tandale tu, bibie ukaamua kujikaza kujumuika na![]()
Acha tu azibebe kwa kweli, mie niliibiwa cheni na hereni, sina hamu na ndugu na sherehe ilikuwa home[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini
sio kuogopa ndugu tu hata wageni waalikwa maana penye wengi pana mengii...!!!
Mara nyingi ukiona mtu yuko makini kiasi hicho ujue probably amewahi kulizwa katika mazingira hayo hayo au yanayofanana na hayo.. Sasa hapo anafanya hivyo baada ya kujifunza.sio kulala naye naseeb watu
hilo sio ishu
ishu ni usalama vitu muhimu na vya msingi vya familia utakua mwanamke mjinga una shughuli halafu halafu unaacha mlango wazi!