Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Ulivoviandika ata ww ukiamua urudie kuvisoma sizan kama utaelewa maana furu makande
Sawa tu, ili mradi ujumbe umefika maana nimeupitia nimeona sawa tu. Sasa katika matatu niliyozungumza lipi lililo kugusa? Kuwalinda watoto wetu ni kazi kubwa sana tulizonazo wamama miaka hii. Usi wa over expose watoto. Mtoto ana account ya Instagram day to day activities zinarushwa. Ili iweje? Mwache mtoto awe mtoto. Majukumu ya kulisha familia ni yenu wazazi si ya mtoto.

Kuhusu madawa ya kulevya huyu celebrity anatajwa sana mitaani na mimi nimeuliza hawajamuita bado? Si ataachiwa kama hana hatia.

Kuhusu party, nimeona soda na maji zimewekwa kwenye carpet, bila glasi, hence I said what I said.
 
zari kaona bora akae nazo haamini mtu,dah kweli zari kiboko ya chafuu, maana hawachelewi kugeuza guest walale na domo, kawakomesha, na wolper alivyolewa vile mmh angemsaulia domo angejipigia fasta

sio kulala naye naseeb watu
hilo sio ishu
ishu ni usalama vitu muhimu na vya msingi vya familia utakua mwanamke mjinga una shughuli halafu halafu unaacha mlango wazi!
 
zari kaona bora akae nazo haamini mtu,dah kweli zari kiboko ya chafuu, maana hawachelewi kugeuza guest walale na domo, kawakomesha, na wolper alivyolewa vile mmh angemsaulia domo angejipigia fasta
Hivi wolper ile sauti ni yakee??mwanamke analewa yule halaf mbona sio mweupe kama au ndio kuchukuliwa video na simu za tecno hiv alietengeneza simu za tecno si ana pesa huyu wolper anaweza hata kumtawaza
 
sio kulala naye naseeb watu
hilo sio ishu
ishu ni usalama vitu muhimu na vya msingi vya familia utakua mwanamke mjinga una shughuli halafu halafu unaacha mlango wazi!
halafu itakua kafanya makusudi,ina maana hkuwa na sehemu ya kuweka au ndo tutajuaje kuwa mama mwenye nyumba kaja
 
Hivi wolper ile sauti ni yakee??mwanamke analewa yule halaf mbona sio mweupe kama au ndio kuchukuliwa video na simu za tecno hiv alietengeneza simu za tecno si ana pesa huyu wolper anaweza hata kumtawaza
Nakwambia mmh sio kwa weusi ule yani kaonekana mbovuu kama bekifgf
 
Mbona kwenye ile comment altaja majina mawili nyumbu na calisah lkn ww unajibu kwa kumtaja wema ndo maana na mm nikawa curious kujua labda ndo jina jipya la madam wetu
Ndo mana nikataja wema hamna binadamu anayefanana na nyumbu au mnyama yoyote.
 
Back
Top Bottom