Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Naona wengi mnanichukia na kuniita majina yote mabaya.Fisadi, Tajiri Mjeuri, Handsome Boy, Billionea Chizi n.k
Ile story nlilazimika kuisitisha baada ya wahusika kunifuata na kutaka niisitishe na walitoa sababu zao. Mbaya zaidi mmoja ana connection kubwa sababu ya biznez zake za Madawa.
Nami napenda kuendelea kuwemo JF msidhan kipindi hicho mnaandika hashtags zenu za #bring back chizi maarifa# hata ntakuwa nazisoma huko nliko.
Kifupi jamaa alitumika na mtoto mmoja wa kigogo ktk hiyo business mpaka kuwa mkubwa sana. Na wana connection kubwa sana. Ukiacha jamaa yangu aliyeenda fanya biashara za Uvuvi wa samaki. Huyu yeye aliendelea na utajiri wake wa kishirikina na sasa ana pesa sana. Amejenga sana guest houses,nyumba na bars na ana boats nyingi za uvuvi.
Ila hakai na wake. Ana mambo mambo mengi. So msinione kwa jicho baya. Nawapenda sana wana JF nanyi mnipende.