Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Pole na wewe .Poleni wakuu
Samahani mkuu Erythrocyte kwa hili jibu ya aya yako hapo juu.Cha kushangaza sasa wabunge wa ccm ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu ! hawajawahi kuwa na hoja wala kuwa na mvuto wa kushawishi hata watu wa 5 wa kuhudhuria mkutano , kwa mfano wabunge kama Waitara , Mwakyembe au Mtolea hawana ushawishi wowote kwenye majimbo yao kiasi hawawezi kuitisha hata kikao cha kujadili harusi ya mtu na ikafanikiwa .
Mkuu Erythrocyte, kwavile siasa ni mapambano, hakuna kitu kizuri kama kujifariji na hopping for the best kuwa upinzani unakwenda kushinda uchaguzi ujao, ila pia wenzetu Wazungu ni wazuri kwa kuangalia mbali hivyo kwenye msemo wa kujifariji wa "Hope for the best" ameongezea na kijimsemoSiri ya Upinzani kupenya kwenye siasa za Tanzania ambazo zimepigwa marufuku kwa miaka minne sasa ni mshikamano miongoni mwa viongozi wake na kuondoa uoga ( NO HATE NO FEAR ) , mbinu za kisasa za kufanya siasa ambazo zimeamsha wananchi kote nchini kutambua haki zao
2020 watu hawatojitokeza kupiga kura Kama ilivyotokea 2010 hii NI kutokana na watu kuwa na fikra ya kwamba hata wakifanya maamuzi katika sanduku bado hayatoheshimiwaMkuu Erythrocyte, kwavile siasa ni mapambano, hakuna kitu kizuri kama kujifariji na hopping for the best kuwa upinzani unakwenda kushinda uchaguzi ujao, ila pia wenzetu Wazungu ni wazuri kwa kuangalia mbali hivyo kwenye msemo wa kujifariji wa "Hope for the best" ameongezea na kijimsemo
" prepare for the worst" ili ukikosa hiyo the best you are hopping for, uwe tayari kupokea the opposite na usiathirike kisaikolojia.
Hivyo mimi naomba kukuandaa kisaikolojia, kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Pigo la mwisho kwa upinzani 2020 ni hili
PUchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...www.jamiiforums.com
Huu ugumu wa maisha wa sasa ni kipindi cha mpito tuu, good things are coming. Kinachofanyika sasa ni kama kutembeza tuu bakora nchi inyooke kama kumrudi mtoto mtukutu, faida ya bakora ataiona baadae.2020 watu hawatojitokeza kupiga kura Kama ilivyotokea 2010 hii NI kutokana na watu kuwa na fikra ya kwamba hata wakifanya maamuzi katika sanduku bado hayatoheshimiwa
Ila hiyo kasi uisemayo sidhani Kama inamnufaisha mwananchi moja kwa moja hiyo
Sanasana kila sehemu wananchi wanalia ugumu wa maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
😛😛😛Huu ugumu wa maisha wa sasa ni kipindi cha mpito tuu, good things are coming. Kinachofanyika sasa ni kama kutembeza tuu bakora nchi inyooke kama kumrudi mtoto mtukutu, faida ya bakora ataiona baadae.
Tunajenga Tanzania ya viwanda, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tunakwenda kuwa donor country, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.
P
Magufuli anaweza akawa si mwanasiasa mzuri ila ni mtafuta kura hatari! Kumbuka nilikuwa nakueleza kila wakati mbinu rahisi ya kushinda mpinzani wako ni kumsifia ili ajisahau. Hapa mmepigwa bao la kwanza. Nawahurumia sana sijui mpaka matokeo ya kura yatoke ni mabao mangapi mtakuwa mmepigwa.View attachment 1334769
Pamoja na juhudi zake binafsi , za serikali anayoiongoza na za chama chake za kuunda kesi za kizushi dhidi ya Wapinzani wake wa kisiasa kwa kushirikiana na ofisi ya DPP pamoja na Jeshi la Polisi huku wengine akiwafunga jela, lakini bado ameshindwa kuumaliza upinzani na sasa amekiri hadharani kwamba hali ya CCM si shwari huku akiunadi hadharani upinzani kwamba una nguvu kubwa ambapo amewaomba viongozi wa chama chake kutobweteka.
Siri ya Upinzani kupenya kwenye siasa za Tanzania ambazo zimepigwa marufuku kwa miaka minne sasa ni mshikamano miongoni mwa viongozi wake na kuondoa uoga (NO HATE NO FEAR), mbinu za kisasa za kufanya siasa ambazo zimeamsha wananchi kote nchini kutambua haki zao , kwa kipindi kirefu sasa ni wabunge wa upinzani pekee wenye uwezo wa kuitisha mikutano ya hadhara japo ndio walengwa wakuu wa mabomu ya Polisi , Uchunguzi mpya umebaini kwamba Jeshi la polisi nchini Tanzania limekamata zaidi wanasiasa wa upinzani ( hasa Chadema ) kuliko lilivyokamata wavuta bangi na majambazi kwa kipindi cha miaka minne iliyopita ( hii ni rekodi ya dunia )
Cha kushangaza sasa wabunge waCCM ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu ! hawajawahi kuwa na hoja wala kuwa na mvuto wa kushawishi hata watu wa 5 wa kuhudhuria mkutano , kwa mfano wabunge kama Waitara , Mwakyembe au Mtolea hawana ushawishi wowote kwenye majimbo yao kiasi hawawezi kuitisha hata kikao cha kujadili harusi ya mtu na ikafanikiwa .
Hapo wako Nairobi kwenye kikao na makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu hayuko pichani.Mkuu Erth hiyo picha hapo juu ina uhusiano gani na huu uzi wako? Lengo lako lilikuwa ni kuweka hiyo picha au umeiweka kwa bahati mbaya?
Siyo bahati mbaya , nimeiweka makusudiMkuu Erth hiyo picha hapo juu ina uhusiano gani na huu uzi wako? Lengo lako lilikuwa ni kuweka hiyo picha au umeiweka kwa bahati mbaya?
Siyo bahati mbaya , nimeiweka makusudi
Ukijaribu kudadisi na kuupata ukweli wa Sirro kuandika barua ya kujiuzulu utarekebisha maandiko yako mengi unayoyaweka humuMkuu Erythrocyte, kwavile siasa ni mapambano, hakuna kitu kizuri kama kujifariji na hopping for the best kuwa upinzani unakwenda kushinda uchaguzi ujao, ila pia wenzetu Wazungu ni wazuri kwa kuangalia mbali hivyo kwenye msemo wa kujifariji wa "Hope for the best" ameongezea na kijimsemo
" prepare for the worst" ili ukikosa hiyo the best you are hopping for, uwe tayari kupokea the opposite na usiathirike kisaikolojia.
Hivyo mimi naomba kukuandaa kisaikolojia, kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Pigo la mwisho kwa upinzani 2020 ni hili
PUchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...www.jamiiforums.com
Wakati mwingine wapanga mikakati siyo wagombea , kwa mfano ile ofisi ya muda ya masaki iliyobadili mil 3 unusu kuwa mil 8 ilikuwa chini ya january na Kinana ambao hawakuwa wagombea unaikumbuka ?Sawa, ila sioni kitisho cha urais wa Magufuli na hiyo picha. Labda uniambie katika hao wawili kuna atakayegombea urais, na Magufuli anamuogopa.
Wakati mwingine wapanga mikakati siyo wagombea , kwa mfano ile ofisi ya muda ya masaki iliyobadili mil 3 unusu kuwa mil 8 ilikuwa chini ya january na Kinana ambao hawakuwa wagombea unaikumbuka ?