Kilichomfanya Magufuli kukengeuka na kuanza kuwaogopa Wapinzani hiki hapa

Kilichomfanya Magufuli kukengeuka na kuanza kuwaogopa Wapinzani hiki hapa

Huu ugumu wa maisha wa sasa ni kipindi cha mpito tuu, good things are coming. Kinachofanyika sasa ni kama kutembeza tuu bakora nchi inyooke kama kumrudi mtoto mtukutu, faida ya bakora ataiona baadae.
Tunajenga Tanzania ya viwanda, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tunakwenda kuwa donor country, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.

P
Haya matapishi sijui yanatokeaga wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mayala bhana nimecheka sana mkuu
Huu ugumu wa maisha wa sasa ni kipindi cha mpito tuu, good things are coming. Kinachofanyika sasa ni kama kutembeza tuu bakora nchi inyooke kama kumrudi mtoto mtukutu, faida ya bakora ataiona baadae.
Tunajenga Tanzania ya viwanda, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tunakwenda kuwa donor country, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti wa chini chini unaonyesha kwamba haungwi mkono ndani ya ccm kwa zaidi ya 86%
Very precise!! Jana nimekutana na mmoja wa WenyevIti wa CCM wa Wilaya moja iliyopo nyanda za juu kusini. Kwanza anaona ni usumbufu tu kutoka huko kuja kwenye viwanja vya Ikulu kulikokuwa na huo mkutano. Pili hapendezewi na namna Jiwe anavyo watendea Wapinzani. Huyu Bwana hata tamaa ya kugombea tena uongozi wa CCM hana kwa vile anaona inazidi kumjengea uhasama na jamii yake.
 
Cha kushangaza sasa wabunge waCCM ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu [emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
View attachment 1334769

Pamoja na juhudi zake binafsi , za serikali anayoiongoza na za chama chake za kuunda kesi za kizushi dhidi ya Wapinzani wake wa kisiasa kwa kushirikiana na ofisi ya DPP pamoja na Jeshi la Polisi huku wengine akiwafunga jela, lakini bado ameshindwa kuumaliza upinzani na sasa amekiri hadharani kwamba hali ya CCM si shwari huku akiunadi hadharani upinzani kwamba una nguvu kubwa ambapo amewaomba viongozi wa chama chake kutobweteka.

Siri ya Upinzani kupenya kwenye siasa za Tanzania ambazo zimepigwa marufuku kwa miaka minne sasa ni mshikamano miongoni mwa viongozi wake na kuondoa uoga (NO HATE NO FEAR), mbinu za kisasa za kufanya siasa ambazo zimeamsha wananchi kote nchini kutambua haki zao , kwa kipindi kirefu sasa ni wabunge wa upinzani pekee wenye uwezo wa kuitisha mikutano ya hadhara japo ndio walengwa wakuu wa mabomu ya Polisi , Uchunguzi mpya umebaini kwamba Jeshi la polisi nchini Tanzania limekamata zaidi wanasiasa wa upinzani ( hasa Chadema ) kuliko lilivyokamata wavuta bangi na majambazi kwa kipindi cha miaka minne iliyopita ( hii ni rekodi ya dunia )

Cha kushangaza sasa wabunge waCCM ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu ! hawajawahi kuwa na hoja wala kuwa na mvuto wa kushawishi hata watu wa 5 wa kuhudhuria mkutano , kwa mfano wabunge kama Waitara , Mwakyembe au Mtolea hawana ushawishi wowote kwenye majimbo yao kiasi hawawezi kuitisha hata kikao cha kujadili harusi ya mtu na ikafanikiwa .

Jr[emoji769]
 
Very precise!! Jana nimekutana na mmoja wa WenyevIti wa CCM wa Wilaya moja iliyopo nyanda za juu kusini. Kwanza anaona ni usumbufu tu kutoka huko kuja kwenye viwanja vya Ikulu kulikokuwa na huo mkutano. Pili hapendezewi na namna Jiwe anavyo watendea Wapinzani. Huyu Bwana hata tamaa ya kugombea tena uongozi wa CCM hana kwa vile anaona inazidi kumjengea uhasama na jamii yake.
Habari ndio hiyo , haisemwi sana ili kulinda uhai .
 
Cha kushangaza sasa wabunge waCCM ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu [emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]

Jr[emoji769]
Mshana Jr tunaomba maoni yako , nakuona online
 
Huu ugumu wa maisha wa sasa ni kipindi cha mpito tuu, good things are coming. Kinachofanyika sasa ni kama kutembeza tuu bakora nchi inyooke kama kumrudi mtoto mtukutu, faida ya bakora ataiona baadae.
Tunajenga Tanzania ya viwanda, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tunakwenda kuwa donor country, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.

P
Uchumi hauwezi kukua kwa kuwabambikia watu kesi kuminya demokrasia
 
Cha kushangaza sasa wabunge waCCM ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu [emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]

Jr[emoji769]
CCM bila polisi hawana mbinu za kuwashawishi wananchi
 
Naskia huko zanzibar mtu hawez ajiriwa kama hana kadi ya ccm...sjui ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea
DSC_2469.jpg
 
Mkuu Erythrocyte, kwavile siasa ni mapambano, hakuna kitu kizuri kama kujifariji na hopping for the best kuwa upinzani unakwenda kushinda uchaguzi ujao, ila pia wenzetu Wazungu ni wazuri kwa kuangalia mbali hivyo kwenye msemo wa kujifariji wa "Hope for the best" ameongezea na kijimsemo
" prepare for the worst" ili ukikosa hiyo the best you are hopping for, uwe tayari kupokea the opposite na usiathirike kisaikolojia.

Hivyo mimi naomba kukuandaa kisaikolojia, kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.




Pigo la mwisho kwa upinzani 2020 ni hili
P
Bora umeonyesha umahiri wako katika kutetea dhambi za Siasa... CCM pamoja na Mwenyekiti wetu hatuwezi kushinda kwa aslimia 99% katika uchaguzi wenye haki,Uhuru,taratibu na sheria zote. Ushindi wa Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni matumizi ya dhulma ambayo kiasi kikubwa inaweza isionekane madhara yake leo ilo kipo kizazi cha hao waliofanya hiyo dhulma watakumbana na karma..
Leo CCM inatamba nchi nzima na kufanya siasa huku wapinzani wakiwa wamekatazwa eti mpaka mwaka wa Uchaguzi na bado unaona watu wanaiongelea CHADEMA,CUF nk....Kumbuka sio kua Watanzania in woga au awaoni hii dhulma la asha ni kua muda wenyewe bado...ata polisi,jeshi,watumishi nk nao itafika muda watakua sio wamoja tena. Historia inaweza kuchelewa lakini tukio likatokea.Walter Rodney ..anasema kua those who ignore History they are lost.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais aliyepo hakubaliki bali kinachokubalika ni TPDF, TISS, Police na NEC. Tuwe wakweli, kama Rais angekuwa anafanya mazuri asingekuwa mwoga wa vyombo vya habari na upinzani.

Anajuwa kabisa kuwa kwenye fair playing ground Jiwe hawezi kupata hata 20%. Sasa amevitisha vyombo vya habari vyote virushe mapambio ya uwongo ya kumsifia.

Kama mimi mwongo hebu aitishe mkutano Jangwani halafu na upinzani uitishe hata pale Mwembe Yanga au Biafra Kinondoni tuone nani ana mvuto.
Hivyo vyombo vya usalama vyote ulivyovitaja vipo chini yake. Yeye ndie Amiri jeshi mkuu. Kama vinakubalika basi anaongoza vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugumu wa maisha wa sasa ni kipindi cha mpito tuu, good things are coming. Kinachofanyika sasa ni kama kutembeza tuu bakora nchi inyooke kama kumrudi mtoto mtukutu, faida ya bakora ataiona baadae.
Tunajenga Tanzania ya viwanda, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tunakwenda kuwa donor country, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.

P
Dah...!
 
Mkuu Erythrocyte, kwavile siasa ni mapambano, hakuna kitu kizuri kama kujifariji na hopping for the best kuwa upinzani unakwenda kushinda uchaguzi ujao, ila pia wenzetu Wazungu ni wazuri kwa kuangalia mbali hivyo kwenye msemo wa kujifariji wa "Hope for the best" ameongezea na kijimsemo
" prepare for the worst" ili ukikosa hiyo the best you are hopping for, uwe tayari kupokea the opposite na usiathirike kisaikolojia.

Hivyo mimi naomba kukuandaa kisaikolojia, kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.




Pigo la mwisho kwa upinzani 2020 ni hili
P
MPUUZI, MPUMBAVU, MJINGA,ZEZETA,BWEGE.... NDIO MAANA HUJAPATA UTEUZI HATA WA UBALOZI WA NYUMBA 10. KAZI YAKO KUJI PENDEKEZA KULIKO PITILIZA. UMEIMBA MAPAMBIO YOTR,UMEABUDU NA KUTUKUZA LAKINI HUJA PATA KITU. MASKINI UNATIA HURUMA. UTAANDIKA THREADS ZA KUSIFIA MPAKA UTAKOSA CHA KUANDIKA. UNABOA KISHENZI!
 
Ndugu pamoja na kujiaminisha kwamba CCM wana hofu lakini ndio watakaoshinda. Nafikiri cha muhimu ni kujiandaa kushindwa au kuwa 'na mbinu mbadala.
 
Huku Zanzibar wamekuja na mbinu ya kutoa vipande vya u Zanzibar ili kuwanyima wananchi haki ya kujiandikisha katika book la wapiga kura.

Ccm Zanzibar huku pia wameshindwa kuwashawishi hata watoto wao wa kuwazaa waipigie kura ccm, siasa zao mapinduzi daima, hakuna wimbo mwengine.

Haramu haiwezi kuishinda halal, yangu macho
Mapinduzi ya kisiasa Tanzania yataanzia Zanzibar.
 
Back
Top Bottom