Kilichomfanya Magufuli kukengeuka na kuanza kuwaogopa Wapinzani hiki hapa

Unaamini kweli kama tuna gesi? Kama kweli hasa tuna gesi wewe kwa akili yako timamu unaona tungejenga kinu cha kufufua umeme kwa maji?
 
Wakati mwingine wapanga mikakati siyo wagombea , kwa mfano ile ofisi ya muda ya masaki iliyobadili mil 3 unusu kuwa mil 8 ilikuwa chini ya january na Kinana ambao hawakuwa wagombea unaikumbuka ?
Sasa mbona unawaexpose mapema hivi !
 
Get prepared for the worst

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The truth will set you free
 
unadhani kwanini kansa pamoja kufahamika miaka mingi sana lakini mpaka leo tiba yake ni kukata viungo tu ?
Sio CANCER zote ni za kukata viungo tuu bhana ! Kunazinazo tibika kwa mionzi asee ! Kwa hiyo hao jamaa (machuga) ulio wapost picha zao ndio CANCER au ? 🤔😁
 
Kwangu mimi Erythrocyte is the best poster of all time wa jf!My role model akifatiwa na THE BOLD!!Ngoja tuone october mwaka huu kitakachojiri!!!
Me for one I always enjoy challenging the chap ! ( I think it is HER) she is civilised though few days ago she was posting angrily 😊 !
 
FAHAMU MAMBO MACHACHE ALIYOFANYA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

Ukiona mtu anambeza KIKWETE mtafakari



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipe moyo huku ukiangamia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm hawategemei kura za wananchi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais aliyepo hakubaliki bali kinachokubalika ni TPDF, TISS, Police na NEC. Tuwe wakweli, kama Rais angekuwa anafanya mazuri asingekuwa mwoga wa vyombo vya habari na upinzani.

Anajuwa kabisa kuwa kwenye fair playing ground Jiwe hawezi kupata hata 20%. Sasa amevitisha vyombo vya habari vyote virushe mapambio ya uwongo ya kumsifia.

Kama mimi mwongo hebu aitishe mkutano Jangwani halafu na upinzani uitishe hata pale Mwembe Yanga au Biafra Kinondoni tuone nani ana mvuto.
 
Utafiti wa chini chini unaonyesha kwamba haungwi mkono ndani ya ccm kwa zaidi ya 86%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…